Mamyu_graphic_zone

Mamyu_graphic_zone Graphic designing
Logo | Business Cards | Posters | Brochures | Banners | Menu | Calenders | Branding | Printing | Motions| And so much more.........

Unahitaji kujifunza graphics designing lakin huwez kutumia comuputer. Mamyu Graphic Zone tumekuletea package ambayo utaj...
26/01/2023

Unahitaji kujifunza graphics designing lakin huwez kutumia comuputer. Mamyu Graphic Zone tumekuletea package ambayo utajifunza computer basics, advanced excel, word, powerpoin, social media, photoshop pamoja na illustrator. Program zote hizi utajifunza kumuda wa miezi miwili

Nafasi ni tano tu
Wahi nafasi yako sasa

16/05/2022

Jipatie picha za mbao kwa size tofauti A5, A4, A3, A2 na A1

☎️ +255 657 217313
✉️ [email protected]

Mamyu Graphic Zone
We make your brand visible

15/02/2022

Graphics designing class on progress

Contact us:
☎️ +255 657 217313
✉️ [email protected]

Mamyu Graphic Zone
We make your brand visible

11/02/2022

Pimples (spots) removing
Graphics Designing Class

11/02/2022

pimples removing

Graphics Designing class

01/02/2022


__
Wakati mwanamke akizidi kuchanja mbuga na kuzama kwenye fursa mbalimbali ambazo awali zilionekana ni za wanaume pekee, Mariam Yusuf yeye aliiona fursa kwenye sekta ya usanifu picha (Graphic Designing) vilevile akajiongezea mbawa kwenye upande wa Photography (Upigaji picha).

Amethubutu na ameweza, ameukata usemi wa "mwanamke akiwezeshwa anaweza" yeye alijiwezesha mwenyewe kwa kupitia tutorials mbalimbali kupitia YouTube na hivi sasa ni msanifu picha mzuri sana. Ukitaka kulithibitisha hili tembelea kwenye account yake ya Instagram at hata page yake ya Facebook. Kwa upande wa picha, tembelea kwenye account yake at kupitia Instagram.

Hiki ni kipande kidogo akizungumzia, namna gani wafanyabiashara/wajasiriamali wadogo wanaweza kukuza brand zao au kuanzisha brands.

Ukitaka kufwatilia mazungumzo zaidi, nimekuwekea link ya YouTube hapo chini 👇👇👇👇

https://youtu.be/MS9KNUdH3F4

21/01/2022


__
MAAJABU ya kwenye GRAPHICS, Umri wake na Uwezo wake vitakushangaza, afundisha wengine

Cc

18/10/2021
Get your email signature now
09/09/2021

Get your email signature now

Habari Yako! na Habari za Muda Huu!Nina Taarifa Njema kwako ni kwamba Lile Darasa Lako Penda La Ubunifu Kwa Njia Ya Pich...
06/09/2021

Habari Yako! na Habari za Muda Huu!

Nina Taarifa Njema kwako ni kwamba Lile Darasa Lako Penda La Ubunifu Kwa Njia Ya Picha (GRAPHIC DESIGN) Bado Lipo na Sasa Seheme ya 3 ya Mafunzo

Haikuwa Mzaha kabisa Walio Jiunga nasi Kwa Darasa la Awali na la pili Wana majibu ya Maswali Yako 🤫 Mara Tu Baada ya Mafunzo Wakatunukiwa Vyeti vyao Vya Ushiriki

Acha Fikra Mgando Dada Yangu Jumuika Nasi Sasa Tukufute mawazo magando tupo Kwa Ajili ya Kukushika Mkono mpaka Malengo kutimia

Darasa Litaanza Rasmi
Tar *27 september 2021*
Tar ya Mwisho ya Kuji sajili
*24 september 2021*

Siku za Mafunzo *WIKI 4*
Ada ya Mafunzo *34,000/=*
Muda wa Masomo *14:00-16:00 pm*
Nafasi Zilizopo ni 20 Tu

*VENUE*
*kariakoo-Faru na Sikukuu St*

MALIPO YANA FANYIKA KUPITIA
*Halopesa* 0629 559 599
Jina *Mariam Yusuf Said*

Kwa Mawasiliano Zaidi
Tupigie Kupitia *+255 657 217 313*

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255657217313

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mamyu_graphic_zone posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Mamyu_graphic_zone:

Share

Category