Mix tape tv

Mix tape tv Welcome to our mixtape page,
you can find us more closely through our social media accounts.

WHATSAPP : 0625254425
ISTAGRAM: mixtape_online
EMAIL :[email protected]
YOUTUBE : mixtape_tv
FACEBOOK: mixtape tv

03/09/2026

WAZINZI WANATAMANI WAO NDIO WANGEKUWA HAYA MAJI..πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€­

19/08/2026

MAPENZI YA KWELI BADO YAPO πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ€£πŸ€£

19/08/2026

Hili bata la watu wa THAILAND sio mchezo wakuu...πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

09/08/2026

ULISHAWAHI KUKUTANA NA HIZI VIDEO MTANDAONI...??

31/07/2026

HIZI NI CONTENT AU UMALAYA TU....πŸ€”πŸ€”πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜†πŸ˜†

30/07/2026

KWANINI WANAWAKE WANA SAPOTI SANA MASHOGA...ΒΏ??πŸ€”πŸ€”

29/07/2026

MPAKA HUYU NAE WANAMLA πŸ€£πŸ€£πŸ˜†πŸ˜†

π„π—π‚π‹π”π’πˆπ•π„: Kiungo Neo Maema πŸ‡ΏπŸ‡¦ bado hajafikia makubaliano na Simba SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ya kuongeza mkataba mpya ili kuendelea kuitumik...
22/07/2026

π„π—π‚π‹π”π’πˆπ•π„: Kiungo Neo Maema πŸ‡ΏπŸ‡¦ bado hajafikia makubaliano na Simba SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ya kuongeza mkataba mpya ili kuendelea kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao baada ya mkataba wake kumalizika! 😳πŸ”₯

Neo Maema anahitaji mshahara mkubwa ili kubaki Simba SC na hilo ndio jambo linaloleta ugumu sana kuweza kupewa mkataba wa muda mrefu,na Simba SC bado wanamuhitaji Neo Maema abaki kutokana na uzoefu wake kwenye Klabu Bingwa Afrika.

Bado mazungumzo yanaendelea baina ya pande zote mbili ili kufikia muafaka wa mwisho k**a atabaki Msimbazi au ataondoka mapema sana na kabla ya msimu wa 2025-26 haujamalizika Neo Maema tayari alikuwa na machaguo yake kwa klabu za Afrika Kusini πŸ‡ΏπŸ‡¦.

βœ…οΈπ——π—˜π—”π—Ÿ π——π—’π—‘π—˜: BURSASPOR YAMNASA ANICET OURA, WINGA HATARI KUTOKA IVORY COASTKlabu ya Bursaspor ya nchini Uturuki imekamil...
22/07/2026

βœ…οΈπ——π—˜π—”π—Ÿ π——π—’π—‘π—˜: BURSASPOR YAMNASA ANICET OURA, WINGA HATARI KUTOKA IVORY COAST

Klabu ya Bursaspor ya nchini Uturuki imekamilisha usajili wa winga wa kushoto wa kimataifa kutoka Ivory Coast, Anicet Oura, ambaye amejiunga na timu hiyo akitokea Simba SC ya Tanzania. Oura mwenye umri wa miaka 26 anatajwa kuwa mmoja wa wachezaji waliovutia vilabu kadhaa kutokana na uwezo wake mkubwa wa kushambulia kupitia pembeni, kasi, mbio za moja kwa moja na uwezo wa kutengeneza nafasi za mabao. Taarifa za usajili wake zimekuwa zikifuatiliwa kwa karibu katika siku za hivi karibuni huku Bursaspor ikiharakisha mchakato wa kuinasa saini yake.

Anicet Oura alianza safari yake ya soka nchini Ivory Coast kabla ya kucheza katika vilabu mbalimbali barani Ulaya na Afrika, ikiwemo Lori Vanadzor ya Armenia, ASEC Mimosas, Stellenbosch FC ya Afrika Kusini, Muaither SC ya Qatar, IF Gnistan ya Finland na baadaye kujiunga na Simba SC mwanzoni mwa mwaka 2026. Akiwa na uzoefu wa kucheza katika ligi tofauti, Oura anatajwa kuwa mchezaji mwenye uwezo wa kucheza winga zote mbili, ingawa nafasi yake ya asili ni upande wa kushoto.

16/06/2026

TAZAMA VIBE LA MASHABIKI WA πŸ‡¨πŸ‡» nchini marekaniπŸ‡ΊπŸ‡²

Address

Temeke
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mix tape tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Mix tape tv:

Shortcuts

Share