VUNJA MBAVU KOCHO

VUNJA MBAVU KOCHO Ndugu Mwenye Huzuni, Karibu kwenye page hii uinjoy wachana na stress zitakuua
LIKE FOLLOW & SHAREpage

Nyie Mwanadada Munalove ambaye ambaye ameokoka, akimsujudia mchungaji wake wa kanisa aliyevaa skin jeans ya bluu na kile...
12/08/2023

Nyie Mwanadada Munalove ambaye ambaye ameokoka, akimsujudia mchungaji wake wa kanisa aliyevaa skin jeans ya bluu na kilemba cheusi. Munalove kwa muda mrefu amekuwa hajivungi kuwakumbusha watu kuwa ameokoka na kujivunia hilo kwamba ana imani thabiti ndani yake

Anyway
Follow VUNJA MBAVU KOCHO For More 🥰 👍

Kiranga komo😂Anyway Follow VUNJA MBAVU KOCHO For More 🥰 🫡😎
12/08/2023

Kiranga komo😂

Anyway
Follow VUNJA MBAVU KOCHO For More 🥰 🫡😎

YAANI KUONGOZA WABONGO RAHA SANA.Maisha yanapanda wenyewe wapo bize kujadili masuala ya MAN U, CHELSEA,  SIMBA , LIVERPO...
12/08/2023

YAANI KUONGOZA WABONGO RAHA SANA.

Maisha yanapanda wenyewe wapo bize kujadili masuala ya MAN U, CHELSEA, SIMBA , LIVERPOOL, YANGA na N.K

Anyway
Follow VUNJA MBAVU KOCHO For More 🥰 🫡😎

Tujikumbushe tukio la wapinzani wawili wa muziki wa HipHop kutoka nchini Marekani, 50 Cent na Ja Rule, ambao kutokana na...
11/08/2023

Tujikumbushe tukio la wapinzani wawili wa muziki wa HipHop kutoka nchini Marekani, 50 Cent na Ja Rule, ambao kutokana na upinzani wao mwaka 2018 ikapelekea 50 Cent kununua tiketi 200 za viti vya mbele kwenye tamasha la Ja Rule, na kuviacha wazi kwa lengo la kumkomoa Ja Rule ili aonekane hajajaza watu kwenye tamasha hilo.

Hii ni hata kwa simba na Yanga tuu mana hawa watu akili zao inabid zipimwe😅😅😅

Follow VUNJA MBAVU KOCHO For More 🥰

WANAUME WENYE NDEVU MNAIONAJE HII!?Follow VUNJA MBAVU KOCHO For More 🥰 ✨️
11/08/2023

WANAUME WENYE NDEVU MNAIONAJE HII!?
Follow VUNJA MBAVU KOCHO For More 🥰 ✨️

Follow VUNJA MBAVU KOCHO For More 🥰
10/08/2023

Follow VUNJA MBAVU KOCHO For More 🥰

HadithBikra yangu 01Naitwa zuleiha ni mtoto wa kizanzibar mwenye umri wa miaka 19. Natoka ktk familia ya kawaida si yaki...
10/08/2023

Hadith
Bikra yangu 01

Naitwa zuleiha ni mtoto wa kizanzibar mwenye umri wa miaka 19. Natoka ktk familia ya kawaida si yakitajiri wala si yakimasikini.

Baba yangu ni mfanya bihashara ktk soko kubwa la hapa mjini unguja maarufu k**a darajani, mama yangu ni mama wa nyumbani.

Mimi ni mtoto wa kwanza ktk familia yenye watoto wawili.
, Wazazi watu walibahatika kupata wototo wawili tu na wote wakike ambao ni mimi na mdogo wangu mwenye umri wa miaka 13.

Nilifanikiwa kupata elimu ya chuo ngazi ya diploma ktk chuo cha maruhubi kilichopo hapa mjini unguja, nilikuwa nikichukuwa taaluma ya utalii. Ktk maisha yangu ya shule toka elimu ya msingi hadi sekondari nilifanikiwa kutunza bikra yangu hadi nilipo ingia chuo.

Kutokana na uzuri wangu nilijitahidi sana kupambana na vishawishi vya wanaume wa kila rika wengine wenye umri zaidi ya baba yangu, wote walikuwa wakinihitaji kimapenzi na wengine walithubutu kwenda hadi kwa wazazi wangu kwa lengo la kunichumbia.

Mbali na uzuri wangu wazazi wangu walikuwa wakorofi sana na wenye itikadi kali kupita kiasi. Walitulea ktk mazingira hayo lengo lao hawakutaka watuone tukiharibikiwa kimaisha au kimasomo.

Mbali na wazee wetu kuwa watata juu ya mambo hayo, lakini pia tamaduni zetu za kizanzibar ni lazima uolewe ukiwa na bikra yako.
Msichana akiolewa akiwa na bikra yake hiyo ni heshima kubwa kwa wazazi na familia nzima kwa ujumla.

Kwa upande mwegine kwa waowaji tamaduni hizo zimejengeka vibaya huku wakiamini kuoa mwanamke asiye na bikra ni sawa na kuingiza mkosi ndani ya familia au k**a msichana atapata bahati yakuolewa bila brika ajue ataenda kuwa mke wapili.

Wazazi wangu walipinga vikali fedheha ya kuzarauliwa kwa kushindwa kutulea vyema, ndio maana walizisha ukali maradufu pindi walipogundua nipevuka (kuvunja ungo). Hawakutaka hata siku moja niongozane na kijana yoyote yule awe wa mtaani kwetu au hata chuoni waliamini hakuna urafiki baina ya msichana na mvulana.

Maisha yangu ya chuo yalikuwa mazuri na yenye amani huku nikiendelea kupambana na changamoto za kimapenzi , ilikuwa ni nadra sana siku kupita bila kutongozwa na zaidi ya wavulana wawili.

Nilikuwa ni mwenye msimamo mkali sana juu ya maswala ya kimapenzi sikutaka hata kusikia mvulana akinitamkia kuwa ananipenda, hiyo ilinifanya nianze kuitwa majina ya ajabu ajabu pale chuoni. Baadhi ya majina niliyokuwa nikiitwa ni BINTI MARINGO, MTOTO WA OSAMA NA mengine mengi k**a hayo.
hali hiyo ilwafanya hata marafiki zangu waanze kunitenga kwasababu wao wote walikuwa na wapenzi wao.

Ilikuwa ni jumatatu tulivu iliyokuwa na furaha kwa upande wangu, nikiwa ktk maeneo ya chuo mnamo mida ya saa saba nilielekea kupata chakula ktk canteen ya chuo, nilipata chakula na kuanza kuondoka ktk maeneo hayo ya canteen kipindi nimefika mlangoni nikielekea nje huku nikichezea simu yangu nilimpamia kaka mmoja alikuwa akiingia canteen kupata chakula na yeye akiwa anachezea simu.

Kwa bahati mbaya simu ya yule kaka ilidondoka na kupsuka kioo, binafsi niliwaza kumlipa lakini nilishtuka sana nilipoambia jina la ile simu na thamani yake , ilikuwa samsung galaxy note 6, kutokana simu ile kuvishwa kava nilijua uwenda itakuwa tecno L8 plus yenye garama ya laki mbili, kumbe ilikuwa ni simu yenye thamani zaidi ya laki saba.

Kipindi nainama chini kumuokotea yule kaka simu yake, yule kaka aliniwahi na kunishika mkono huku akiniambia...............

ITAENDELEA....
Follow VUNJA MBAVU KOCHO For More 🥰 ✨️ ❤️

Umeona eehFollow VUNJA MBAVU KOCHO For More 🥰 ✨️
10/08/2023

Umeona eeh
Follow VUNJA MBAVU KOCHO For More 🥰 ✨️

Follow VUNJA MBAVU KOCHO For More 🥰 ✨️
10/08/2023

Follow VUNJA MBAVU KOCHO For More 🥰 ✨️

Wanaume wanapitia mengi nyie😂😂Anyway  Follow VUNJA MBAVU KOCHO For More 🥰 ✨️
10/08/2023

Wanaume wanapitia mengi nyie😂😂
Anyway
Follow VUNJA MBAVU KOCHO For More 🥰 ✨️

Haki hii nchi ukifa kwa stress umejitakia looh!!WACHEZAJI  WA TIMU GANI HAWA!!?Then Follow VUNJA MBAVU KOCHO For More 🥰 ...
10/08/2023

Haki hii nchi ukifa kwa stress umejitakia looh!!
WACHEZAJI WA TIMU GANI HAWA!!?
Then
Follow VUNJA MBAVU KOCHO For More 🥰 ✨️

Address

Magomeni Mapipa
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VUNJA MBAVU KOCHO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share