MAI Tempo Studio

MAI Tempo Studio Corporate Standard Audio Studio Recording Jingles | Songs | Drops | Shows | Signature | Voice Overs

25/02/2020

alisisitiza kwenye kufanya kazi na kupumzisha roho yako Kwa passion yako... Na kwa wengi wetu ni muziki.... Furahia kutoka kwa vijana wake , , , , ,

Special thanks and credit to
, , , , , ,

Hii ni kwaajili yako , ,

Produced by
Directed by

Kudownload kutoka YouTube, bonyeza link on the bio ya

24/02/2020

A tribute music piece for (Mashup nzima itakujia baadae leo)....

—————-
R-U-G-E,
See you when you see me,
Mr No CV, Mr Uwezo talk to me,
Mr No TV Come behind the Scene,
Uliwafungulia Dunia, machizi wa ‘ngalimi
Uliwafungulia dunia Elihustle, Jolie na Mimi (Mimi)

Wazi, kutumia nafasi
Ukishajenga jina zitakuja money shazi
It is wise, you’re the hero
Bongo to the world and you started from Zero.

Performed by
Huyu ndiye na mentor wa vijana wengine wengi.

Organized and Produced by


  katika maisha yake alijitoa kuwa vitu vingi kwa kwa watu wengi na kuifanya alama aliyoiacha kuwa kubwa na isiyofutika ...
23/02/2020

katika maisha yake alijitoa kuwa vitu vingi kwa kwa watu wengi na kuifanya alama aliyoiacha kuwa kubwa na isiyofutika kirahisi. Sehemu ya alama hio ni uwezo wake wa kuongoza vijana kwenye kuwa bora zaidi kwa kuwafundisha moja kwa moja, kuishi k**a mfano na kuwatengenezea daraja la kupita kwenda wanakokutaka huku yeye akiwa .

K**a umekuwa ni sehemu ya alama hii kwa upande huu, tunaposherehekea zawadi ya maisha yake, usisite kusema

Huyu ndiye Ruge Mutahaba, Mentor wangu na Mentor wa vijana wengine wengi.

Cc

Address

House 37, Plot 47, Uporoto St, Ursino Estate, Kinondoni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MAI Tempo Studio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to MAI Tempo Studio:

Share