Kwaya ya Mt.Sesilia Makuburi

Kwaya ya Mt.Sesilia Makuburi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kwaya ya Mt.Sesilia Makuburi, Choir, Dar es Salaam.

Haya hayaaa, karibuni tujivunie ukatoliki wetu. Kaya ya Mt. Seciloa Makuburi kwa kushirikiana na Efm wanakuletea tamasha...
14/07/2023

Haya hayaaa, karibuni tujivunie ukatoliki wetu. Kaya ya Mt. Seciloa Makuburi kwa kushirikiana na Efm wanakuletea tamasha kubwa la Najivunia Ukatoliki, litakalofanyika siku ya Jumapili Tarehe 23/07/2023 katika ukumbi wa Kadinali Rugambwa, parokia ya Mt. Peteo Oysterbay. Karibuni nyote tujivunie ukatoliki wetu.

Karibuni tumsifu Mungu pamoja. Bofya kiungo hiki
31/05/2022

Karibuni tumsifu Mungu pamoja. Bofya kiungo hiki

Maisha yetu hapa duniani ni ya muda tu. Sote tupo kwenye safari ya uzima kuelekea mbinguni ambapo ndipo nyumbani kwetu. Sote twajua pia kuwa Safari zote Zina...

"Sala yangu na ipae k**a moshi wa ubani altareni na kuinuliwa kwa mikono yangu, iwe k**a sadaka ya jioni k**a ile ya mtu...
25/05/2022

"Sala yangu na ipae k**a moshi wa ubani altareni na kuinuliwa kwa mikono yangu, iwe k**a sadaka ya jioni k**a ile ya mtumishi wako Abeli".









Kwaya yetu inatoa huduma za kuinjilisha kwa njia ya nyimbo katoliki katika misa takatifu, upadrisho, ubatizo, komunio, k...
24/05/2022

Kwaya yetu inatoa huduma za kuinjilisha kwa njia ya nyimbo katoliki katika misa takatifu, upadrisho, ubatizo, komunio, kipaimara, misiba na shughuli nyingine za kijamii ambazo zinahusu kuhubiri injili ya Yesu Kristo.

Ratiba ya misa: Kila siku ya Dominika kuanzia saa moja na nusu asubuhi.

Ratiba ya mazoezi: Jumatano, Ijumaa na Jumamosi kuanzia saa kumi na moja na nusu jioni mpaka saa moja kamili usiku.

Mahali: parokia ya Mwenyeheri Anuarite-Makuburi

TUMUIMBIE BWANA, KATIKA ROHO NA KWELI.









Hakuna shaka juu ya uwezo mkubwa wa kuinjilisha walionao Kwaya ya  .YudaThadei kutoka Njombe, kuthibitisha hilo Jukwaa l...
08/09/2021

Hakuna shaka juu ya uwezo mkubwa wa kuinjilisha walionao Kwaya ya .YudaThadei kutoka Njombe, kuthibitisha hilo Jukwaa la limewapa kibali cha kuinjilisha, kusifu na kuabudu.

Hii si ya kukosa.
#2021

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kwaya ya Mt.Sesilia Makuburi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category