03/01/2024
Habari...
https://youtu.be/qCVm8Ztkn4g?si=DTQ6V8Wy2xvx_WEt
🤫🤫🤫🤫🤫
Video yetu pendwa ya iliyoimbwa na inapatikana YouTube sasa tafadhali kwa wewe shabiki au mdau wa mziki wetu pendwa wa bongofleva kuwa miongoni wa kuiendelea kubariki safari ya mziki wangu na safari ya mziki wetu wa bongofleva
🎸🎸🎸🎸🎸🎸🎸🎸
Subscribe sasa YouTube account andika tiyerz kitambo
Usisite kutembelea page zangu za mitandao
Instagram,TikTok,Facebook,x na mitandao ya kijamii nifate k**a
Bila ya mwenyezi mungu sisi si chochote
Mungu bariki mashabiki zangu
Bariki KAZI ya kipaji changu
Bariki TANZANIA.