Jafari Barozi

Jafari Barozi Jafari barozi ni mahali pekee pakupatia taarifa zote za kijamii hasa zile zakiskauti

Jipatie flat screen bomba kuanzia inch 19 mpaka inch 65 tv ni smart na zakawaida pia zipo
05/08/2022

Jipatie flat screen bomba kuanzia inch 19 mpaka inch 65 tv ni smart na zakawaida pia zipo

10/06/2020

Natafuta kazi elimu yangu kidato cha nne pia nina uzoefu wakufanya biashara ila sio za kutembeza kazi yoyote ambayo ipo ndani ya sheria za nchi nipo tayari kufanya umri wangu miaka 25 jinsia mwanaume nipo dar es salaam

Michezo ni sehemu yakujifunza kwa vijana wetu wa skauti pia michezo hugeuka kuwa mazoezi ili kumfanya kijana awe imara k...
28/03/2020

Michezo ni sehemu yakujifunza kwa vijana wetu wa skauti pia michezo hugeuka kuwa mazoezi ili kumfanya kijana awe imara kiafya na kiakili. Sisi k**a viongozi wa skauti katika makundi mbali hasa mashuleni tuhakikishe tunawapatia vijana wetu michezo yenye faida ili waweze kuwa timamu kiakili na kimeili.

Michezo ni sehemu yakujifunza kwa vijana wetu wa skauti pia michezo hugeuka kuwa mazoezi ili kumfanya kijana awe imara kiafya na kiakili. Sisi k**a viongozi wa skauti katika makundi mbali hasa mash…

1. Ahadi ya skauti uhaminika 2. Skauti mzalendo kamili 3. Wajibu wa skauti ni mtu wakufaa na kusaidia wengine 4. Skauti ...
26/03/2020

1. Ahadi ya skauti uhaminika 2. Skauti mzalendo kamili 3. Wajibu wa skauti ni mtu wakufaa na kusaidia wengine 4. Skauti ni rafiki wa wote na ndugu kwa kila aliye skauti 5. Skauti anayo adabu kamili 6. Skauti uhurumia viumbe hai 7. Skauti mtiifu 8. Skauti mchangamfu daima 9. Skauti hutunza vitu vyake na vya wenzake 10. Skauti msafi wa mawazo maneno na vitendo NB: SKAUTI SI MJINGA NA MJINGA SIO SKAUTI

1. Ahadi ya skauti uhaminika 2. Skauti mzalendo kamili 3. Wajibu wa skauti ni mtu wakufaa na kusaidia wengine 4. Skauti ni rafiki wa wote na ndugu kwa kila aliye skauti 5. Skauti anayo adabu kamili…

Asili ya skauti ni afrika ya kusini kwenye kabila la wazulu. Kabla ya uskauti wenyeji wa afrika ya kusini,kwenye kabila ...
26/03/2020

Asili ya skauti ni afrika ya kusini kwenye kabila la wazulu. Kabla ya uskauti wenyeji wa afrika ya kusini,kwenye kabila la wazulu waliwafundisha watoto wao mbinu za kujitegemea wawapo kwenye mazingira tofauti tofauti.

Asili ya skauti ni afrika ya kusini kwenye kabila la wazulu. Kabla ya uskauti wenyeji wa afrika ya kusini,kwenye kabila la wazulu waliwafundisha watoto wao mbinu za kujitegemea wawapo kwenye mazing…

Skauti ni neno la kiingereza lenye maana ya watu wanaotangulia mbele ya safu za askari waendao vitani ili kuonesha hatar...
25/03/2020

Skauti ni neno la kiingereza lenye maana ya watu wanaotangulia mbele ya safu za askari waendao vitani ili kuonesha hatari yoyote iliyo mbele yao. Basi inambidi awe mjasiri mkak**avu mvumbuzi mpelelezi akikosea kwa jinsi yeyote usababisha madhara kwa askari wote walio nyuma yake. Pia awe mpole msikivu na mwenye uelewa mzuri na busara . Maana halisi ya neno skauti ni MTANGULIZI.

Skauti ni neno la kiingereza lenye maana ya watu wanaotangulia mbele ya safu za askari waendao vitani ili kuonesha hatari yoyote iliyo mbele yao. Basi inambidi awe mjasiri mkak**avu mvumbuzi mpelel…

FIGHT 4 CORONAVIRUS
24/03/2020

FIGHT 4 CORONAVIRUS

FIGHT 4 CORONAVIRUS

Kwa yamini yangu naahidi yakuwa nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kutimiza wajibu wangu kwa MUNGU wangu na kwa nchi kusa...
24/03/2020

Kwa yamini yangu naahidi yakuwa nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kutimiza wajibu wangu kwa MUNGU wangu na kwa nchi kusaidia watu siku zote na kuzitii kanuni za skauti

Kwa yamini yangu naahidi yakuwa nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kutimiza wajibu wangu kwa MUNGU wangu na kwa nchi kusaidia watu siku zote na kuzitii kanuni za skauti

20/08/2019

Ni strory mpya nzuri na yenye mafunzo ndani yake
Katayari kwa # IN BALOZIII
Coming soon..............☝️☝️

Address

Makuburi
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255683046256

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jafari Barozi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Jafari Barozi:

Share