Ochumaudaku

Ochumaudaku All New Updates New Updates

Hii ni post ambayo Kiredio kaipost na akaja akafuta kwahiyo tuseme mwamba analipwa Milion 17 kwa mwezi😳😳 naomba na mimi ...
18/02/2026

Hii ni post ambayo Kiredio kaipost na akaja akafuta kwahiyo tuseme mwamba analipwa Milion 17 kwa mwezi😳😳 naomba na mimi nijitokeze sasa hadharani nianze kufanya kazi ya kuwa kontentkrieta mana sio kwa huu mshahara😮‍💨😮‍💨

17/02/2026

Ujumbe wa Diamond kwa wenye kutarajia ndoa🏃‍➡️🏃‍➡️

17/02/2026

Wadada hamuendi mbinguni🤦🤦

17/02/2026

Cardi B akiwa an tumbuiza kwenye steji😁😁…hapa hata Bongo msanii anaeweza kutumbuiza k**a hivi ni nani??? Mana mtu akishakuwa na mahusiano tu ht kubambiwa hataki😁😁 na hat hivyo Basata wakikuona tu ni shwaaaaa🏃‍➡️🏃‍➡️🏃‍➡️

17/02/2026

“Genge langu nimelifungu ni zaidi ya Milioni 200” Anko T😁😂😂 Kumbe kufungua Genge sikuhiz tusichukulie poa kabisa inabidi uwe na mtaji wa kutosha😮‍💨😮‍💨

17/02/2026

Anko T alivyokutana na rafiki ake Nandy kwenye uzinduzi wa genge lake😂😂😂

17/02/2026

Anko T kashaanza kuchanganya mambo huku😁😁

17/02/2026

Mwambieni Billnass aendelee kulala tu😁😁

16/02/2026

Nasikia Zaiylissa anaolewa na kuwa mke wa pili wa Mr Said🏃‍➡️🏃‍➡️ ila huyu dada ana bahati wa ndoa sana🙌🏼🙌🏼

16/02/2026

Mchaga anadeka jamani🤤🤤

16/02/2026

K**a hauna mpenzi k**a mimi mwaka huu unaweza ukaongea peke ako njiani k**a mwehu tu😂😂

Address

Cocacola Road
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ochumaudaku posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share