14/05/2021
Tunawatakia Eid njema na mapumziko mema ya Eid wote, msisite kujumuika nasi hapa , KUNDUCHI KONA kwa kuja kuisindikiza Eid kwa michezo mbalimbali ya PLAYSTATION na kufurahia pamoja na mabingwa wenzako wa FIFA pamoja na michezo mengine!
Eid Njema na karibuni sana 📍 KUNDUCHI (Kona)