02/06/2026
Eagle is flying now,aaaa eeh see
😁😁Resgiri
Ukimkuta sebuleni jua,anazake kamisheni,
Nashindwa ku understand, nashindwa ku understand,
Hawezi kulala bila yangu Mimi,aya ya ya ya,
Ananipa uji,ananipa maji, ananipa uji, ananipa maji,
Kwangu yuko tila lila tila lilaaaa,