Kipenga XTRA

Kipenga XTRA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kipenga XTRA, Game Publisher, Dar es Salaam.

Vipi kuhusu diarra
26/10/2024

Vipi kuhusu diarra

  Dakika 90 za mtanange wa kibabe wa ligi kuu ya nchini England kati ya Arsenal dhidi ya Tottenham zimemalizika kwa timu...
24/09/2023

Dakika 90 za mtanange wa kibabe wa ligi kuu ya nchini England kati ya Arsenal dhidi ya Tottenham zimemalizika kwa timu zote mbili kutoka sare ya mabao 2-2.

MICHEZO MINGINE

Brighton 3-1 Bournemouth
Chelsea 0-1 Aston Villa
Liverpool 3-1 West Ham

Je, Unahisi ni kipi ambacho kimewaangusha Arsenal leo?

Kila la kheri Taifa Stars kwenye mchezo wa leo wa Kufuzu AFCON dhidi ya Algeria.
07/09/2023

Kila la kheri Taifa Stars kwenye mchezo wa leo wa Kufuzu AFCON dhidi ya Algeria.

Yupo nchin Tanzania Ni Manzoki, huyu ✔️✔️✔️✔️➕➕➕➕
24/05/2023

Yupo nchin Tanzania Ni Manzoki, huyu ✔️✔️✔️✔️➕➕➕➕

Hongera wananchi Young Africans Sports Club mnastahili
13/05/2023

Hongera wananchi Young Africans Sports Club mnastahili

Neno MOJA kwa KOCHA WA Simba
01/05/2023

Neno MOJA kwa KOCHA WA Simba

“Mohammed Dewji (Mo Dewji) ni mfanya biashara mwenye uwezo mdogo sana wa kufikiri hivyo niliamua kumpuuza na kumuondoa k...
18/04/2023

“Mohammed Dewji (Mo Dewji) ni mfanya biashara mwenye uwezo mdogo sana wa kufikiri hivyo niliamua kumpuuza na kumuondoa kwenye listi ya marafiki zangu” Dr. Hamisi A. Kigwangalla

(Credit : Medani Za Siasa Tanzania )

14/04/2023
Tangu atue Simba SC Joash Onyango 🇰🇪 amesababisha penalty karibia kila baada ya michezo miwili ya CAF kwenye michuano ya...
01/04/2023

Tangu atue Simba SC Joash Onyango 🇰🇪 amesababisha penalty karibia kila baada ya michezo miwili ya CAF kwenye michuano ya Caf Champions league na Caf Confederation Cup

Mwaka huu kwenye hatua ya makundi Ccl kasababisha penalty 3 katika michezo 6

Dawa atafutiwe wataalamu wa kumuweka sawa

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kipenga XTRA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category