Tanzania yetu

Tanzania yetu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tanzania yetu, Visual Arts, Dar es Salaam.

22/02/2020
Kuna vitu vingine tunapaswa kutafakali kwa kina kabla ya kufanya maamuzi hata k**a unaona haki iko upande wako kwa sabab...
16/05/2017

Kuna vitu vingine tunapaswa kutafakali kwa kina kabla ya kufanya maamuzi hata k**a unaona haki iko upande wako kwa sababu unaweza fanya jambo likahatarisha maisha yako au jambo hilo likakupatia hasara kubwa ambayo ungeweza kuikwepa endapo tu ungeweza kutafakali kabla kabla haujafanya maamuzi....watanzania wenzangu tusiwe na mioyo hili ya ajabu na kuja kuilaumu serikali pasipo makosa ...fikili kabla ya kutenda,fikili kabla ya kunena

Wadada wengi wa siku hizi wamekuwa wakijijali wao na kujiandaa wao tu kuwa smart lakini hata kupika hawajui je kuna ukwe...
13/05/2017

Wadada wengi wa siku hizi wamekuwa wakijijali wao na kujiandaa wao tu kuwa smart lakini hata kupika hawajui je kuna ukweli wowote kuhusu hili

08/05/2017
Tanzania ni nchi yangu na mimi ni kijana wa kitanzania hivyo ninaipenda sana.na sababu kubwa ya kuipenda ni amani na upe...
07/05/2017

Tanzania ni nchi yangu na mimi ni kijana wa kitanzania hivyo ninaipenda sana.na sababu kubwa ya kuipenda ni amani na upendo wa wananchi wake hebu tuipende nchi yetu tupeane sapoti kwa kila jambo ili tufikie lengo asante sana kwa kusoma ujumbe huu natumaini utakuwa pamoja nami katika mapenzi ya dhati katika nchi yetu TANZANIA NAKUPENDA

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania yetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category