The R-Cade Gamers

The R-Cade Gamers Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from The R-Cade Gamers, Video Game Store, Mwenge, Dar es Salaam.

"Where Champions Play๏ฟฝ"

Instagram:

Twitter:

Telegram:The R-Cade Gamers๏ฟฝ
https://t.me/TheRCadeGamers

WhatsApp:https://chat.whatsapp.com/IZqpduTiyVdHflS4ePhMEk

Buffon amekuwepo nyakati zote. Kwanzia PS1 (1995) mpaka PS5 (2023). ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ KILA LA KHERI MWAMBA๐Ÿ‘Š๐Ÿพ
04/08/2023

Buffon amekuwepo nyakati zote. Kwanzia PS1 (1995) mpaka PS5 (2023). ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

KILA LA KHERI MWAMBA๐Ÿ‘Š๐Ÿพ

Erling Haaland ๐Ÿ—ฃ๏ธ:Kila mchezaji wa soka ana ndoto hii. Ninajivunia kuwa kwenye jalada la msimu wa kwanza wa enzi mpya"  ...
13/07/2023

Erling Haaland ๐Ÿ—ฃ๏ธ:
Kila mchezaji wa soka ana ndoto hii.
Ninajivunia kuwa kwenye jalada la msimu wa kwanza wa enzi mpya"

๐Ÿšจ RASMI: Cover la EA Sports FC 24  โ€˜Ultimate Editionโ€™. ๐ŸŽฎ
10/07/2023

๐Ÿšจ RASMI: Cover la EA Sports FC 24 โ€˜Ultimate Editionโ€™. ๐ŸŽฎ

๐Ÿšจ La Liga itabadilishwa jina na kuwa โ€˜๐‹๐š ๐‹๐ข๐ ๐š ๐„๐€ ๐’๐ฉ๐จ๐ซ๐ญ๐ฌ ๐…๐‚โ€™ kuanzia mwanzoni mwa msimu wa 2023/24. Imepangwa kufanyiwa c...
24/04/2023

๐Ÿšจ La Liga itabadilishwa jina na kuwa โ€˜๐‹๐š ๐‹๐ข๐ ๐š ๐„๐€ ๐’๐ฉ๐จ๐ซ๐ญ๐ฌ ๐…๐‚โ€™ kuanzia mwanzoni mwa msimu wa 2023/24.

Imepangwa kufanyiwa chapa (๐ต๐‘Ÿ๐‘Ž๐‘›๐‘‘) upya na kuwa na nembo (๐ฟ๐‘œ๐‘”๐‘œ) mpya pia. ๐Ÿ‘‡

๐Ÿ“ธ

Electronic Arts (EA) ambao ni watengenezaji wa game la FIFA imetangaza kubadilisha jina la toleo lao la game za FIFA amb...
06/04/2023

Electronic Arts (EA) ambao ni watengenezaji wa game la FIFA imetangaza kubadilisha jina la toleo lao la game za FIFA ambalo sasa litaitwa EA Sports FC ๐ŸŽฎ

15/02/2023
๐™๐™๐™ˆ๐™€๐™๐™๐˜ฟ๐™„ ๐™†๐™’๐˜ผ ๐™†๐™„๐™Ž๐™ƒ๐™„๐™‰๐˜ฟ๐™Š!!! Naam, Huo ndio muonekano wetu mpya kwenye Game center yetu ya ๐™๐™๐™š ๐™-๐˜พ๐™–๐™™๐™š ๐™‚๐™–๐™ข๐™š๐™ง๐™จ, Mwenge, Dar Es...
25/10/2022

๐™๐™๐™ˆ๐™€๐™๐™๐˜ฟ๐™„ ๐™†๐™’๐˜ผ ๐™†๐™„๐™Ž๐™ƒ๐™„๐™‰๐˜ฟ๐™Š!!!

Naam, Huo ndio muonekano wetu mpya kwenye Game center yetu ya ๐™๐™๐™š ๐™-๐˜พ๐™–๐™™๐™š ๐™‚๐™–๐™ข๐™š๐™ง๐™จ, Mwenge, Dar Es Salaam.

Karibu upate wakati mzuri wa kucheza games pekeyako au na wenzako kwa ๐˜ฝ๐™š๐™ž ๐™‰๐™–๐™›๐™ช๐™ช kuliko kote

Kwanzia ๐™Ž๐™๐™ž๐™ก๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™ž 500/= ๐™๐™ช! Unapata nafasi ya kucheza games uzipendazo. Na kwa wasiojua kucheza Ila wanapenda kujua kucheza games tunatoa huduma ya ๐™†๐™ช๐™ฌ๐™–๐™›๐™ช๐™ฃ๐™™๐™ž๐™จ๐™๐™– mpaka waelewe

Kufika kwenye game center yetu shukia kituo cha Mwenge upande wa kushoto (k**a unatokea mjini) kwenye daladala zinazoelekea tegeta kisha tupigie simu 0625529198 tukuelekeze mpaka ufike.

๐™†๐˜ผ๐™๐™„๐˜ฝ๐™๐™‰๐™„ ๐™Ž๐˜ผ๐™‰๐˜ผ

15/10/2022
Graphics za   ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ Mambo yameshaiva, mzigo umeshatufikia. Tukutane Oktoba mosi, pale pale kwenye chimbo la mabingwa ๐“๐ก...
26/09/2022

Graphics za ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ Mambo yameshaiva, mzigo umeshatufikia. Tukutane Oktoba mosi, pale pale kwenye chimbo la mabingwa ๐“๐ก๐ž ๐‘-๐‚๐š๐๐ž ๐†๐š๐ฆ๐ž๐ซ๐ฌ, Mwenge stand ya kuelekea Tegeta tuzindue game mpya.

๐“๐ฎ๐ง๐š๐ญ๐จ๐š ๐Ž๐…๐€ ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐œ๐ก๐ž๐ณ๐š ๐Œ๐„๐‚๐‡๐ˆ ๐Œ๐๐ˆ๐‹๐ˆ ๐๐”๐‘๐„ ๐ค๐ฐ๐š ๐ฐ๐š๐ญ๐ž๐ฃ๐š 10 ๐ฐ๐š ๐ค๐ฐ๐š๐ง๐ณ๐š

Kwa wateja wapya, ukishuka tu mwenge kituoni.. tupigie simu 0625529198 tutakuelekeza mpka ofisini. Karibuni sana

Address

Mwenge
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 10:30 - 23:00
Tuesday 10:30 - 23:00
Wednesday 10:30 - 23:00
Thursday 10:30 - 23:00
Friday 10:30 - 23:00
Saturday 10:00 - 23:00
Sunday 10:00 - 23:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The R-Cade Gamers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share