Kmds-Bombambili

Kmds-Bombambili Kwaya Ya Mt Dominic Savio (KMDS) inafanya utume wa wake Katika Jimbo Kuu La Dar Es Salaam Parokia Ya Bikira Maria Mama wa Rozari-Bombambili 🇹🇿

30/03/2024

https://youtu.be/sWbdvj_NU4E?si=yk9hAy0Ga4MqXxfY

▶️ WIMBO: YESU AKALIA KWA SAUTI KUU

▶️MTUNZI: G.CHAVALLAH

▶️KWAYA: DOMINIC SAVIO (KMDS)

▶️PAROKIA : BIKIRA MARIA MAMA WA ROZARI - BOMBAMBILI

*Share, Like & Subscribe*

"Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa ...
25/12/2023

"Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu pia Mfalme wa amani"

Isa 9:6

Familia ya Tunawatakia Kheri Ya Sikukuu Ya Noeli 🙏 🎄🎄

08/09/2023

https://youtu.be/Rwr_U6X19Gc?si=XKUp81Grq7FmkgVt

*_"Vikwazo na Majaribu havina budi kutokea, lakini Jipeni Moyo Mtashinda, Hayo Yote Ni Mapito na Siku Moja yatapita ilindeni imani yenu msiogope"_*

KWAYA: MT.DOMINIC SAVIO (KMDS)

PAROKIA: BIKIRA MARIA MAMA WA ROZARI - BOMBAMBILI

WIMBO: JIPENI MOYO MSIOGOPE

MTUNZI: BEN NTURAMA

AUDIO: BANALLY PRO

VIDEO: IRIS EMPIRE

Like, Share & Subscribe

JIPENI MOYO MSIOGOPE -Ben Nturama Ben Nturama Utapatikana Kesho Kuanzia saa 12 Jioni kupitia Channel yetu ya YouTube KMD...
07/09/2023

JIPENI MOYO MSIOGOPE -Ben Nturama Ben Nturama

Utapatikana Kesho Kuanzia saa 12 Jioni kupitia Channel yetu ya YouTube KMDS BOMBAMBILI.

SUBSCRIBE Channel yetu Ili uwe Wa kwanza kutazama wimbo huu 🙏

Kwaya Yetu ya Mt.Dominic Savio (KMDS) Bombambili tunayo furaha Kubwa Kwa Wanakwaya wenzetu Aloyce Ulio  Wa Sauti ya Nne ...
29/08/2023

Kwaya Yetu ya Mt.Dominic Savio (KMDS) Bombambili tunayo furaha Kubwa Kwa Wanakwaya wenzetu Aloyce Ulio Wa Sauti ya Nne (BASS) na Mericious Buretha Wa Sauti ya Kwanza (SOPRANO) kufunga ndoa Takatifu.

Tunawaombea maisha ya furaha na amani, wakaijenge familia Bora na familia inayompendeza Mungu🙏🏽

Tunawapenda Sana♥️

12/06/2023

WIMBO : MATENDO MAKUU YA MUNGU

WAIMBAJI : Kmds Bombambili

MTUNZI : KAIZA ALEX

KINANDA : SANTINO KUHANGA

AUDIO : BANALLY PRO

VIDEO : IRIS EMPIRE

COMING SOON! COMING SOON!

SUBSCRIBE ! SUBSCRIBE! SUBSCRIBE!👇👇

Click Link Kwa Bio Pale Juu 👆 UkaSUBSCRIBE Uwe Wa Kwanza Kutazama Wimbo Huu👏

UZINDUZI! UZINDUZI! UZINDUZI!Zimebaki SIKU Siku 4 Tu🔥🔥🔥🔥Ni Dominika hii  Ya Tarehe *28/05/2023* Parokiani Bombambili Uzi...
23/05/2023

UZINDUZI! UZINDUZI! UZINDUZI!

Zimebaki SIKU Siku 4 Tu🔥🔥🔥🔥

Ni Dominika hii Ya Tarehe *28/05/2023* Parokiani Bombambili

Uzinduzi Huu wa Album Utaambatana na:-

📌Maadhimisho ya Misa Takatifu
📌Muziki na Burudani toka kwa Kwaya Mbalimbali
📌Mauzo ya Album
📌Chakula Na Vinywaji

➡️FR.THOMAS NJUE (Mwanzilishi Wa Kwaya hii ATAKUWEPO)

➡️Na Tukio lote la Uzinduzi litakuwa chini ya Mshehereshaji Wetu Safi kabisa Mc.JODET DOMINIC SALISALI🔥🔥

USIPANGE KUKOSA 📌

Njooni Tuyashuhudie MATENDO MAKUU YA MUNGU, NYOTE MNAKARIBISHWA 👏

Kwa Mawasiliano:-
+255763301271
+255743225661
+255785388886

UZINDUZI! UZINDUZI! UZINDUZI!Ni Tarehe 28/05/2023 Parokiani Bombambili📌KWAYA YA MT.SESILIA (KMS) -MAKUBURI WATAKUWEPO 🔥🔥...
18/05/2023

UZINDUZI! UZINDUZI! UZINDUZI!

Ni Tarehe 28/05/2023 Parokiani Bombambili

📌KWAYA YA MT.SESILIA (KMS) -MAKUBURI WATAKUWEPO 🔥🔥

📌MWL.DEO MHUMBIRA pia ATAKUWEPO 🔥🔥

Njooni Tuyashuhudie MATENDO MAKUU YA MUNGU !

Usipange Kukosa, Nyote Mnakaribishwa 👏

Kwa Mawasiliano:-
+255763301271
+255743225661
+255785388886

UZINDUZI! UZINDUZI! UZINDUZI!,🔥🔥🔥Ni Tarehe 28/05/2023 Parokiani BombambiliUSIPANGE KUKOSA👏👏NYOTE MNAKARIBISHWA 🙏🏽🙏🏽Kwa M...
15/05/2023

UZINDUZI! UZINDUZI! UZINDUZI!,🔥🔥🔥

Ni Tarehe 28/05/2023 Parokiani Bombambili

USIPANGE KUKOSA👏👏

NYOTE MNAKARIBISHWA 🙏🏽🙏🏽

Kwa Mawasiliano:-
+255763301271
+255743225661
+255785388886

UZINDUZI! UZINDUZI! UZINDUZI!"Utukufu wa BWANA na udumu milele; BWANA na ayafurahie matendo yake, jinsi yalivyo makuu ma...
09/05/2023

UZINDUZI! UZINDUZI! UZINDUZI!

"Utukufu wa BWANA na udumu milele; BWANA na ayafurahie matendo yake, jinsi yalivyo makuu matendo yake"

Karibu Ushuhudie MATENDO MAKUU YA MUNGU, Kwa kujipatia nakala ya Album hii siku hiyo👏

Kwa Mawasiliano;
+255763301271
+255743225661
+255785388885

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kmds-Bombambili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Kmds-Bombambili:

Share

Category