wapekee_

wapekee_ CREATIVE & CONTENT CREATOR AND DIRECTOR

You are invited to Online Meeting POWERFUL E - COMMERCE COMPANYToday  •  7:30 – 8:30 PM GMT +3Google Meet joining infoht...
13/07/2023

You are invited to Online Meeting

POWERFUL E - COMMERCE COMPANY

Today • 7:30 – 8:30 PM GMT +3
Google Meet joining info

https://meet.google.com/znh-nhyc-mby
Don't Plan To Miss. Language_ : English

You are invited to Online Meeting Modern Affiliate MarketingTODAY : 9:00 – 10:00 PM GMT +3To join the meeting on Google ...
10/07/2023

You are invited to Online Meeting

Modern Affiliate Marketing

TODAY : 9:00 – 10:00 PM GMT +3

To join the meeting on Google Meet, click this link:
https://meet.google.com/qgb-ceua-wuu

Or open Meet and enter this code: qgb-ceua-wuu
Don't Plan To Miss. Language_ : English

You are invited to Online Meeting POWERFUL E - COMMERCE COMPANYToday  •  7:30 – 8:30 PM GMT +3Google Meet joining infoVi...
09/07/2023

You are invited to Online Meeting

POWERFUL E - COMMERCE COMPANY
Today • 7:30 – 8:30 PM GMT +3
Google Meet joining info
Video call link: https://meet.google.com/gvj-bavx-mzf. Don't Plan To Miss. Language_ : English

08/07/2023
Hakika Haya ndio     na   makubwa katika Sekta ya Sanaa na Utamaduni   kwa Serikali ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania. ...
07/04/2022

Hakika Haya ndio na makubwa katika Sekta ya Sanaa na Utamaduni
kwa Serikali ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.

• • • • • •
Sekta ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Yaidhinishiwa Kitengo Ngazi ya Halmashauri

Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Mhe. Innocent Bashungwa amewaelekeza watendaji wote wanaohusika na utekelezaji wa mabadiliko ya muundo wa kada za Maafisa Utamaduni na Maafisa Michezo ulioidhinishwa kutekelezwa haraka iwezekanavyo ifikapo Julai 01, 2022. 

Waziri Bashungwa amesema hayo Aprili 06, 2022 jijini Dodoma wakati akifunga kikao kazi cha 13 cha Maafisa Utamaduni na Michezo ambapo amehimiza maandalizi ya utekelezaji wa muundo huo mpya yaanze sasa ili kutoa huduma kwa wadau wa sekta hizo na Watanzania kwa ujumla.

Akifunga kikao kazi hicho, Waziri Bashungwa amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kuridhia kuanzishwa kitengo cha Utamaduni, Sanaa na Michezo na kumuagiza Katibu Mkuu OR-TAMISEMI kusimamia utekelezaji wa kuanzishwa Kitengo hicho kipya cha Utamaduni, Sanaa na michezo kwa kuwa ni kitengo muhimu k**a vitengo vingine nchini ambapo lengo lake ni kuwahudumia Watanzania katika sekta hizo.

“Niwahakikishie, maelekezo ya Waziri Mkuu aliyayatoa hapa wakati wa kufungua kikao kazi hiki tutayatelekeza pamoja na Maazimio yanayohusu utekelezaji kwa upande wa TAMISEMI naahidi yatafanyiwa kazi na kutolewa taarifa kila baada ya miezi minne k**a ilivyo kwa taasisi nyingine ili tunapokutana katika kikao kazi kingine, tuwe na taarifa ya jumla ya utekelezaji na tusonge mbele zaidi” amesema Waziri Bashungwa.

Katika kutekeleza maelekezo ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Bashungwa amewaagiza Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Katibu Mkuu OR-TAMISEMI kukaa mara moja na kuchambua maelekezo ya Waziri Mkuu ili yafanyiwe kazi kwa wakati kwa manufaa ya kuwahudumia Watanzania nchi nzima.

habarileo_tz

       ❤️
27/02/2022



❤️

10/07/2021

Naitwa . Ni Kijana wa Kitanzania ambaye Maisha yangu yote yamekuwa ,ni Simulizi Tosha Yenye Mafunzo Tosha kabisa. Imekuwa ni safari yenye Makosa , changamoto , mafanikio , Maumivu , na HARAKATI NYINGI ZA KUISHI KUSUDI LANGU LA KUUMBWA NA KUWEPO DUNIANI.

Ni Kipindi changu kinachoangazia Maisha yangu ya na , Kitawagusa watu mbalimbali waliojitokeza kwenye Maisha yangu katika kuishi kusudi langu la .
Kipindi hiki ni .

(EPISODE) KIMOJA.
NI KWENYE MITANDAO YANGU YOTE YA KIJAMII
# YouTube na .

.

By :

    ItsMe
10/07/2021




ItsMe

09/02/2020

We'll come
KingKephas
WAPEKEE

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when wapekee_ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to wapekee_:

Share