Chiume News

Chiume News Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Chiume News, timothyjohn257@gmail. com, Dar es Salaam.

Habib kyombo sio mchezaji wa Singida big stars tena baada ya pande zote mbili kukubaliana.
03/07/2022

Habib kyombo sio mchezaji wa Singida big stars tena baada ya pande zote mbili kukubaliana.

Rasmi Morrison ni mchezaji wa klabu ya yanga ametambulishwa usiku huu na hii ni baada ya Morrison kumaliza mkataba wake ...
03/07/2022

Rasmi Morrison ni mchezaji wa klabu ya yanga ametambulishwa usiku huu na hii ni baada ya Morrison kumaliza mkataba wake katika klabu ya Simba .

FOOTBALL MOMENTS
25/06/2022

FOOTBALL MOMENTS

Visit the post for more.

Klabu ya Geita gold inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania bara imefungiwa kusajili na shirikisho la kimataifa la mpira wa mi...
24/06/2022

Klabu ya Geita gold inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania bara imefungiwa kusajili na shirikisho la kimataifa la mpira wa miguu baada ya klabu hiyo kushindwa kumlipa aliye kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Ettiene Ndayiragije.

Klabu ya Geita gold inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania bara imefungiwa kusajili na shirikisho la kimataifa la mpira wa miguu baada ya klabu hiyo kushindwa kumlipa aliye kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo…

Logo ya klabu ya Orlando pirate KUFUATIA kuondoka kwa wachezaji saba, zaidi wanatarajiwa kuelekea mlango wa kutokea Orla...
23/06/2022

Logo ya klabu ya Orlando pirate KUFUATIA kuondoka kwa wachezaji saba, zaidi wanatarajiwa kuelekea mlango wa kutokea Orlando Pirates huku klabu hiyo ikiendelea kujiandaa kwa msimu mpya. Siku ya Jumatatu, Pirates ilitangaza kuondoka kwa wachezaji saba - Kwanda Mngonyama, Abel Mabaso, Justice Chabalala, Elson Sithole, Wayne Sandilands na Thabang Monare. Waliungana na Thulani Hlatshwayo ambaye alikuwa mchezaji wa kwanza kuonyeshwa mlango na klabu....

Logo ya klabu ya Orlando pirate KUFUATIA kuondoka kwa wachezaji saba, zaidi wanatarajiwa kuelekea mlango wa kutokea Orlando Pirates huku klabu hiyo ikiendelea kujiandaa kwa msimu mpya. Siku ya Juma…

Address

Timothyjohn257@gmail. Com
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chiume News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share