Mc King Mo Jojo

Mc King Mo Jojo Master MC of Different Ceremonies
Artist • Comedian • Presenter
For Booking +255685888614

"Nitakushukuru mileleKwa maana umetenda;Nitalingojea jina lakoKwa kuwa ni jema; MbeleYa wacha MUNGU wako"     Happy New ...
05/01/2025

"Nitakushukuru milele
Kwa maana umetenda;
Nitalingojea jina lako
Kwa kuwa ni jema; Mbele
Ya wacha MUNGU wako"


Happy New Year 2025

'Ukifanikiwa usijenge DHARAU kwa wengine, bali jenga NGAZI wengine wapande.'
22/12/2024

'Ukifanikiwa usijenge DHARAU kwa wengine, bali jenga NGAZI wengine wapande.'

Mola wangu, niwezeshe niwe mwenye kushukuru Neema yako uliyonineemesha mimi na wazazi wangu wawili, na nifanye wema amba...
05/11/2024

Mola wangu, niwezeshe niwe mwenye kushukuru Neema yako uliyonineemesha mimi na wazazi wangu wawili, na nifanye wema ambao umeuridhia, na uniingize kwa rehema zako, katika waja wako wema. (Surah An-naml)

Halaaaaaah

Namshukuru Mungu siku hii ya leo kwa kunifikisha miaka kadhaa Tangu kuzaliwa kwangu.Naamini kwa Neema zake atanifanya ni...
13/10/2024

Namshukuru Mungu siku hii ya leo kwa kunifikisha miaka kadhaa Tangu kuzaliwa kwangu.

Naamini kwa Neema zake atanifanya niiishi miaka mingi Mpaka kuiona ile nchi ya Ahadi aliyowahaidi wana wa israeli na dunia kwa Ujumla.

Kuna wengi walitamani kuongeza miaka yao lakini hawakuweza kufikia matumaini yao ,
Kuna wengine sasa hivi wanagombea Uhai wao hospital, Vitani, Barabarani na ata mahala pengine ili waweze japo kufikisha siku Nyingine lakini Muumba ameniona mimi na kunibariki Uhai na furaha yangu siku hii ya Leo.

Asante sana Baba yangu mzazi kwa malezi yako yaliyo mema kwangu, Asante pia Mama yangu kipenzi kwa zawadi hii ya kunileta Duniani uko ulipo Upumzike kwa Amani (R.I.P), Bila kusahau Ndugu na Jamaa zangu, Najua ni magumu mengi mlipitia mpaka kunifanya leo hii Nami nionekane mtu katika Watu.

Sina cha kuwalipa zaidi ya kuwaombea umri mrefu.



HAPPY BIRTHDAY TO ME 🎂🇹🇿

Wadhamini 🤍🥂••• Pic Credit-
18/09/2024

Wadhamini 🤍🥂



Pic Credit-

UVIVU unaua TAMAAHASIRA inaua HEKIMAKIBURI inaua UKUAJIWIVU inaua AMANISHAKA inaua KUJIAMINI.-Sasa soma kushoto kwenda k...
31/08/2024

UVIVU unaua TAMAA
HASIRA inaua HEKIMA
KIBURI inaua UKUAJI
WIVU inaua AMANI
SHAKA inaua KUJIAMINI.

-Sasa soma kushoto kwenda kulia.

AMEONEKANA NDINAGWE.~ Malaika wake na yeye mwenyewe yupo Tanzania.• Lakini kwenu ninyi mnaolicha jina langu, jua la haki...
26/07/2024

AMEONEKANA NDINAGWE.

~ Malaika wake na yeye mwenyewe yupo Tanzania.

• Lakini kwenu ninyi mnaolicha jina langu, jua la haki litawazukia, lenye kuponya katika mbawa zake; nanyi mtatoka nje, na kucheza-cheza k**a ndama wa mazizini.



- Pic Credit-
t

Happy Birthday  uishi maisha marefu sana binafsi nakuombea sana.🎙️🎂
06/09/2023

Happy Birthday uishi maisha marefu sana binafsi nakuombea sana.🎙️🎂

Furaha yetu ndio kitu pekee tulicho wazidi wengine.•••My Brother Fredrick Fussi.
25/09/2022

Furaha yetu ndio kitu pekee tulicho wazidi wengine.



My Brother Fredrick Fussi.

Address

Wazo Hill
Dar Es Salaam
TEGETA

Telephone

+255685888614

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mc King Mo Jojo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share