Elimisha jamii

Elimisha jamii Fahamu kuhusu bongo movie pia tunashoot movie za kila aina za kibongo

02/08/2020

Chimbuko la lugha ya kiswahili
Kiswahili kimezaliwa dar es salaam
Badala ya kuja waarabu
Je wajua?
Kibantu kilipo changanyika na kialabu kikazaliwa kiswahil

31/07/2020

Kuelimisha jjamii kupitiah sanaa ya Tanzania

10/07/2020

Maumivu ya mapenzi

25/06/2020

Dunia inazunguluka
Kwenye muhimili wake
Dunia imeinama upande mmoja hivyo inavyo jizungulusha kule kuliko inama chini panakuah usiku na uku juu mchanah
Ndomana baadhi ya sehemu saa zimepishana

18/06/2020

Usimchukie. Anae kuchukiah
Kamwe siku hazifanani anaweza kuah msaada wa kesho kwako
Kila kitu unacho kiona na ulicho kiona hapa duniani juah kinasababu na kinaumuhimu wake.jifunze kupitiah maisha ya kawaida ili kujuah vitu vingi

12/06/2020

Fikili kabla ya kutendah my dear please jaman
Hasira hasara usiamue jambo ukiwa na hasira maaana hasira zikiishah utabaki kujutiah

05/06/2020

Fimbo ya mbali kamwe haiiuwi nyokah

31/05/2020
28/05/2020

Ata mjanja alianza k**a mjingah2

24/05/2020

Mungu awanusuru wale wote wanaoamin imaan potofu

20/05/2020

Uskose kila siku simulizi za kusisimua

Address

Dar Es Salaam
0620623691

Telephone

+255769043841

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elimisha jamii posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share