MOUKI OG

MOUKI OG Tiktok Star | Actor | Film maker πŸŽ₯
Add me Youtube , Instagram,: MOUKI OG
BASED IN ,DSM TANZANIAπŸ“
DM me | WASAP +255684870700 🌺
(2)

Mlisema ni MIAKA MINGAPI vile WAKUU πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸΎ
15/06/2026

Mlisema ni MIAKA MINGAPI vile WAKUU πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸΎ

Kwa moyo wa shukrani kubwa kwa Mungu, familia, marafiki na mashabiki ambao mmekuwa sehemu ya safari yangu, napenda kuwak...
15/06/2026

Kwa moyo wa shukrani kubwa kwa Mungu, familia, marafiki na mashabiki ambao mmekuwa sehemu ya safari yangu, napenda kuwakaribisha rasmi kw@djenye Birthday Day Party yangu ya kwanza kabisa.πŸ™ŒπŸΎ

Ni furaha ya kipekee kwangu kwani nitakuwa natimiza miaka 2* 😜, hatua ambayo siichukulii kawaida bali k**a baraka kubwa ya maisha. πŸ™πŸΎ

Sijawahi kufanya birthday party hapo kabla, hivyo mwaka huu nimeamua kusherehekea pamoja na watu ambao wamekuwa wakinionyesha upendo, kunisapoti na kusimama nami katika safari yangu ...

Kaka angu DJ CLASSIC ✨ amenitoa HOFU na kunihakilishia kuwa siku hii itakua special sana kwenye mikono yake pale
πŸ“ THE EPIC – TABATA The Epic
πŸ“… JUMAMOSI hii, JUNE 20 , 2026
πŸ• Kuanzia saa 1:00 jioni mpaka USIKU mzito πŸ™ŒπŸΎ

Ninawaalika wote; marafiki, mashabiki, ndugu na kila mwenye mapenzi mema na mimi, tuje tufurahie, tuimarishe urafiki wetu, tucheke, tupige picha na kutengeneza kumbukumbu nzuri pamoja. πŸ™πŸΎ

Asanteni kwa upendo wenu wa dhati. Uwepo wenu utakuwa zawadi kubwa sana kwangu. β€οΈπŸ™πŸΎ

Karibuni sana tusherehekee siku hii special pamoja. πŸŽ‚πŸ₯‚βœ¨-

15/06/2026

Ajalinkazini πŸ₯ΉπŸ™ŒπŸΎ | πŸŽ₯

15/06/2026

ILA HAWAA πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸΎ

15/06/2026

Ohoooo TAYARIIII πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸΎ

15/06/2026

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸΎ | πŸŽ₯

Noma weeeeh πŸ₯ΉπŸ™ŒπŸΎ
14/06/2026

Noma weeeeh πŸ₯ΉπŸ™ŒπŸΎ

14/06/2026

NYUMA ya kamera kwenye utengenezaji wa TAMTHILIA yetu ya MDOLI series 🧸

14/06/2026

Ilaa anko πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸΎ | πŸŽ₯

Kuna Mtu kauliza hili swali ✍️"Juzi kwenye msiba wa mbwa wake anayeitwa MANUNU Mliiona mimba Kwa Wema Sepetu??"Jibu la s...
14/06/2026

Kuna Mtu kauliza hili swali ✍️

"Juzi kwenye msiba wa mbwa wake anayeitwa MANUNU Mliiona mimba Kwa Wema Sepetu??"

Jibu la swali Hilo ni hili katika Ule Msiba wa Manunu hakuna Picha yeyote au video yeyote iliyomuonyesha Wema Sepetu Akiwa Full, Mimi niliitafuta Clip kiukweli sikuipata niliishia kuona Clip na picha za waombolezaji tu wale Marafiki zakeπŸ˜ƒ

Kiukweli Wema Sepetu ana Marafiki watu wote aliokuwa nao karibu walijitahidi kuificha hiyo Siri na Ukitaka kuamini Hilo video za matukio mbalimbali katika Ujauzito wake kila Alipokuwa akienda zinaanza kuonekana sasa.

Japokuwa taarifa zilikuwa zinavuja nyepesi nyepesi Kuwa Wema Sepetu ni Mjamzito wengi hawakuamini Hilo lakini Kwa Muda mrefu hatukumuona Wema Sepetu katika matukio makubwa, Hata kwenye zile Kampeni kubwa za CCM katika Uchaguzi Wema Sepetu hakuonekana hadharani.

Credit muudomoh✍️

γ‚š

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MOUKI OG posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to MOUKI OG:

Share