Utukufu wa Bwana umeshuka

Utukufu wa Bwana umeshuka Ukurasa huu ni kwaajili ya ukumtukuza Mungu kwa mambo ambayo ametutendea na kumrudishia utukufu yeye peke yake aliye fanya

07/04/2026
BWANA akubariki na kukulindaBWANA akubariki na kukufadhili naBWANA akubariki na kukupa Amani yake amen
15/11/2024

BWANA akubariki na kukulinda
BWANA akubariki na kukufadhili na
BWANA akubariki na kukupa Amani yake amen

01/09/2024

Find wasapgroup.join01's all social media links, exclusive content/products/services, and engage with wasapgroup.join01 directly!

Tukiwa na pacha wenzangu wakwanza kushoto pacha tumbo moja siku moja katikati mimi mwenye mnataka niseme na mwingine aaa...
11/05/2024

Tukiwa na pacha wenzangu wakwanza kushoto pacha tumbo moja siku moja katikati mimi mwenye mnataka niseme na mwingine aaaa jiongeze

Shalom wapendwa nawasalimu katika jina la YESU lipitalo majina yote wapendwa naomba mniwezeshe kupata speaker ya kuhubir...
08/05/2024

Shalom wapendwa nawasalimu katika jina la YESU lipitalo majina yote wapendwa naomba mniwezeshe kupata speaker ya kuhubiria mtaani,stendi nk ni sadaka yako kwa BWANA na MUNGU akuguse kwa chochote ili niweze kununua speaker watu wa dini zote karibuni kuwezesha injili ya YESU KRISTO tuma sadaka yako 500,1000,2000, 5000,10000,hata 100000 au kununua speaker na kunikabizi karibuni sana wapendwa namba 0785508207 jina Martha sadaka yako itafika na MUNGU akubariki na akumbuke sadaka zako na kuzitakabali na akupelekee msaada toka sayuni na jina la MUNGU wa Yakobo likuinue na usipungukiwe na magonjwa yasitajwe kwako na kwa uzao wako neno hili likuongoze kuitii sauti ya BWANA torat 28:1-7 Amen 0785508207 Martha.

Kumtumikia Mungu ni furaha na kuna faida
04/04/2024

Kumtumikia Mungu ni furaha na kuna faida

Address

Mbezi Mwisho
Dar Es Salaam

Telephone

+255659133270

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Utukufu wa Bwana umeshuka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category