29/07/2026
*.Kila Namba Kwenye Simu Yako Inawakati Wake Kwa Nyakati Zake,Hivyo Usifute Namba Zao Maana Hata Zako Wanazo Haijalishi Hawakutafuti Lakini Tafuta Thamani Yako Kwanza Kwao Ndio Uwe Na Namba Zao.*