08/11/2022
π€π€π€π€ Jaman nilivyo ona hivi nilish*tuka!!
kumbe hipo hivi....
wakati mwamba wasoka Tanzania Mrisho ngasa Ana kuwa kinala kamasio mfungaji bora wa mashindano ya CAF wakti ule
Yanga ilishiliki na kufanikiwa kuzito bahazi ya timu kwenye hatua ya awli zikiwemo...
.. BDF, Xi ya Bostswan,, Fc platinum ya Zimbabwe..
Nilipo Kuja kuona hapa Sasa π€π€
Kumbe simala yakwnza yanga Kufanya hivi
wakti wana mfunga KOMORIZONE ya COMORO mtukazi MRISHO NGASA alipiga hart trick (2)mbili yan hom away
Nb:Hawa kufanikiwa kufuzu makundiπππ
Now ni MAYELE MAYELE
π©π©π©