ramo.tz

ramo.tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ramo.tz, Art, Dar es Salaam.

Uzuri ni kuwa hata k**a hujawa wa kuanza matibabu bado unaweza kuendele kupata huduma ya masomo ya afya ya uza$i kwa mwa...
22/07/2022

Uzuri ni kuwa hata k**a hujawa wa kuanza matibabu bado unaweza kuendele kupata huduma ya masomo ya afya ya uza$i kwa mwanamke ofisini kwangu kila Jumapili saa nane mchana bure kabisa.

Darasahuwa ni la watu 50 pekee hivyo unatakiwa kupiga simu siku 2 kabla kupata nafadi ya kuhudhuria
.paulmasua

Ni vema zaidi kutatua changamoto ya ugumba kwa kurejea chanzo halisi kuliko kutumia dawa za kutoa matokeo bila kuondoa k...
01/07/2022

Ni vema zaidi kutatua changamoto ya ugumba kwa kurejea chanzo halisi kuliko kutumia dawa za kutoa matokeo bila kuondoa kiini/kusababishi
+255 712 286 686
tz8

28/06/2022

MAAMBUKIZI YA VIA VYA UZAZI VYA MWANAMKE NI NINI?
+255 712 286 686 .tz8

Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke au ugonjwa wa PID (pelvic inflammatory disease) ni maambukizi ya bakteria kwenye shingo ya uzazi, mirija ya fallopio, ovari na tumbo la uzazi (uterasi).

Sababu kuu ya ugonjwa huu kutokea ni maambukizi yanayosambazwa kwa kujamiiana (STI). Ugonjwa huu unaweza kuwaathiri wanawake wenye umri wowote, lakini wale wenye umri kati ya maika 15 na 24 huathirika zaidi.

Dalili huweza kujumuisha: maumivu ya nyonga au tumbo, maumivu wakati wa kujamiiana, na uchafu usio wa kawaida kutoka ukeni pamoja na homa. PID hutibiwa kwa antibiotiki, na utambuzi na matibabu ya mapema ni muhimu katika kuzuia madhara ya kupata makovu na utasa.1

Vihatarishi vya ugonjwa wa PID
Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke ni semi ya kitabibu inayoelezea maambukizi ya shingo ya uzazi, tumbo la uzazi na mirija ya fallopio. Kwa kawaida maambukizi haya husababishwa na bakteria.

Ingawa mara nyingi ni maamkubizi yanayosambazwa kwa njia ya kujamiiana (STI), k**a vile klamidia au kisonono, wakati mwingine maambukizi haya huweza kusababishwa na bakteria wengine. PID inaweza kuwaathiri wanawake wenye umri wowote, lakini wale wenye umri kati ya miaka 15 and 24 huathirika zaidi.

DALILI ZA P.I.D

Dalili huweza kujumuisha:
Maumivu kwenye nyonga na tumboMaumivu wakati wa kujamiianaKutokwa damu nyingi wakati wa hedhiKutokwa na majimaji yasiyo ya kawaida ukeni

Baadhi ya watu huweza kupata homa, kichefuchefu, kutapika au maumivu wakati wa kujisaidia.

Watu wengi hupona vizuri baada ya matibabu.
Hata hivyo, ikiwa maambukizi hayatatibiwa, au ikiwa mtu anayapata maambukizi haya tena baada ya kutibiwa, basi kuna uwezekano mkubwa wa kupata madhara zaidi. Haya huweza kujumuisha makovu kwenye tumbo la uzazi na mirija ya fallopio, ugumu wa kupata mimba, mimba kutungwa nje ya tumbo la uzazi, na maumivu ya muda mrefu ya nyonga.

Kinga

Njia muhimu ya kuzuia maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke ni kutumia kondomu wakati wa kujamiiana ili kuzuia kupata maambukizi yanayosambazwa kwa njia ya kujamiiana (STIs). Watu waliotambuliwa kuwa na STI wanapaswa kutibiwa sambamba wenza

Idadi ya mbegu kwenye mchepuo mmoja wa manii kwa mwanaume ni lazima zianzie 250mil.... ili kuongeza ufanisi wa kuweza ku...
29/04/2022

Idadi ya mbegu kwenye mchepuo mmoja wa manii kwa mwanaume ni lazima zianzie 250mil.... ili kuongeza ufanisi wa kuweza kutungwa ujauzito hili lina umuhimu mkubwa kutokana na mambo kafhaa ambayo huathiri mbegu zikiwa ukeni kabla ya kulifikia yai.

Hata k**a umeshapata tiba za aina zote na bado hujapata matokeo Basi imani yako ni kubwa kuliko unavyodhani.. kamwe usij...
26/04/2022

Hata k**a umeshapata tiba za aina zote na bado hujapata matokeo Basi imani yako ni kubwa kuliko unavyodhani.. kamwe usije kujisemea hata kimoyomoyo kuwa wewe ni mgumba.
Kataa roho hiyo kwa kujinenea mara kwa mara kuwa utazaa k**a uzao wa Ibrahim.
"AMEN"
🤲🤲🤲

Hii siyo ya kukosa mwanamke wa kileo... Lady Cleanser ni moja ya dawa mzuri inayopendekezwa na Madaktari wa wa wanwake k...
25/04/2022

Hii siyo ya kukosa mwanamke wa kileo... Lady Cleanser ni moja ya dawa mzuri inayopendekezwa na Madaktari wa wa wanwake kutokana na kuwa haina kiambata sumu, ni 100% natural.
pia si lazima mwenye kuumwa pekee ndiyo utumie bali hata yule ambaye anahitaji kujikinga na Maambukizi ya ukeni na hali mbalimbali zitokananzo na mazingira, umrin hormones, tendo, allergy ya Pads. Basi LADY CLEANSER ndiyo kazi yake
+255 712 286 686 📞 and WhatsApp

Unafahamu kuwa ulaji wa nyama nyekundu kupindukia unakuweka katika hatari ya kupata uvimbe kwenye kizazi..? Sawa na iliv...
24/04/2022

Unafahamu kuwa ulaji wa nyama nyekundu kupindukia unakuweka katika hatari ya kupata uvimbe kwenye kizazi..? Sawa na ilivyo kuwahi kuvunja ungo?

Binti anapochelewa kupevuka (kuvunja ungo) hupelekea siku zake kutokuwa katika mpangilio mzuri kwa miaka kadhaa
20/04/2022

Binti anapochelewa kupevuka (kuvunja ungo) hupelekea siku zake kutokuwa katika mpangilio mzuri kwa miaka kadhaa

Hata k**a halijafanyika tendo manii yakiingia ukeni yanat9sha kusababisha mimba
19/04/2022

Hata k**a halijafanyika tendo manii yakiingia ukeni yanat9sha kusababisha mimba

Usijipe waswas
19/04/2022

Usijipe waswas

18/04/2022
Je  una ndoto?Je una malengo?Je una maono? Je una skills?Je unajuwa kuhusu uongozi?Je unajuwa ndoto zako ili zitimie una...
08/01/2022

Je una ndoto?

Je una malengo?

Je una maono?

Je una skills?

Je unajuwa kuhusu uongozi?

Je unajuwa ndoto zako ili zitimie unatakiwa ufanye Nini?

Je unawajuwa watu walofanikiwa kwa mda mfupi sana katika biashara?

Je kila siku una kitu ambacho kinakukumbusha ndoto zako na malengo yako?

Je unamalengo na ndoto kubwa na hujui njia za kutumia ili utimize?

Haya maswali usibaki kujiuliza ukiwa pekee yako ili ukamilishe ndoto na malengo yako

1: kubali kujifunza kwa watu walokuzidi kipato

2: kubali kujifunza kwa walofanikiwa

3: kubali kufundishika

4: jishushe kuwa mpole ndani ya miezi miwili jifunze.

5: ndani ya miezi 16 yatendee haki malengo na ndoto zako

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ramo.tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category