Master J

Master J Official page of MASTER J, CEO of ROMELA Group, founder of MM Construction & MJ Records

13/08/2026

2000 - Nimegundua nikimuondoka Sugu ambaye nimefanya nae album 5 k**a sijakosea na Mr Paul, π‹π€πƒπ˜ π‰π€π˜πƒπ„π„. ndio msanii ambaye nimefanya nae ngoma nyingi zaidi kuliko msanii yeyote mwingine. πŸ€”

Jide kafanya kazi na marehemu D-Rod hadi Rapcha!!!! You are a Queen my sister, naomba nikupe maua yako. πŸ˜πŸ™πŸΎ
Msanii: Lady Jay Dee Ft D-Rob of Kwanza Unit (RIP)
Wimbo: Mpenzi Wangu
Producer: MJ
Studio: MJ Records

08/08/2026

Kila la kheri leo my long time Brother, aka mzee wa πŸ”§πŸ”§πŸ˜…πŸ˜…. cc Mamba Dudu Baya
Msanii: Dudubaya Ft Inspector Haroun
Wimbo: Nakupenda Tu
Producer: MJ
Studio: MJ Records
Mwaka: 2002

25/07/2026

Kusema ukweli huyu binti ameshanishinda tabia, mimi naanza kuvujisha kazi zake. Nyimbo anazo na video anazo, kwanini hataki kurudi kwenye game??!! πŸ€·πŸΎβ€β™‚οΈ
Aya team Shaa, video kamili niivujishe lini?
Music Producer:
Video Director:

23/07/2026

2001 - TBT yangu ya mwisho kwa leo ni hii hapa. Another 2 legends on 1 track, Lady Jay Dee na Juma Nature. πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Msanii: Lady Jay Dee Ft Juma Nature
Wimbo: Umuhimu Wako
Producer: MJ
Studio: MJ Records

Address

21 Viwandani Street, Mikocheni A
Dar Es Salaam
23195

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Master J posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Master J:

Shortcuts

Share