Sky rog

Sky rog Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sky rog, Arts and entertainment, s. l. p 20950, Butiama.

Story _ PENZI LA KAKA 01mtunzi_  Anza nayo       Ni baada ya chuo kufungwa kila mmoja wetu bwenini alikua na furaha ya k...
27/04/2020

Story _ PENZI LA KAKA 01
mtunzi_

Anza nayo
Ni baada ya chuo kufungwa kila mmoja wetu bwenini alikua na furaha ya kutaka kuondoka kwao kutokana na kuwamiss mno wazazi na ndugu zao, lakin Mimi nilikua sina furaha kabisa niliwaza jinsi nitakavyo tengana na mpenzi wangu kwa muda, akili yangu ilivurugika mno niliwaza sana, nikiwa katka rundo LA mawazo nikakurupushwa na rafki yangu anaetwa rose
Rose: oya Tee vepe ww, mbona k**a hauko sawa nini shida.!?
Tee: aaah rose mpenzi, sina Amani Mimi sitaman hata kuondoka
Rose:kwa mshangao haaaa! Unakichaa kwel Tee shida nn ni kwann sasa
Tee: daaaah nahisi kuchanganyikiwa sasa hakika sijui nn nifanye juu ya hili, hauwez amino sipo tayr kurud nyumban nahis k**a nitakua nimempoteza mpenzi wangu Bruno, nadhan unaelewa nini namaanisha
Rose: mmmmh sasa utabaki hapa dear utabaki kwa gia gan na ni vipi k**a Bruno atasafiri kwenda kwao , kabla hajajibu wakaja wanafunzi wengine wakiwa na furaha tele, Tee kwa hasira akaamka na kufoka eeeeeeh nyie hebu kaeni kimya bhana nn hivy k**a watoto? mnafuraha ya nn sasa wapuuz ninyi,. alifoka kwa hasira,.
Wadada kwasababu wanamuheshim sana Tee walikaa kimya huku wakijiuliza kwann Tee amekua k**a hivyo na si kawaida yake, rose akamtuliza Tee na kumuahid ataongea na Bruno ili wakubaliane nn kifanyike ili apate aman na akubal kusafir basi angalau Tee alipata moyo na kumkumbatia best Ake
Tee:nakupenda rafk yang kwasab mda wote unanitia moyo
Rose: usijal hyo yote ni urafiki, basi sasa niache nikamuone Shem nimjuze
Sasa?
Tee; sawa ntafurah
Rose alitoka kwenda kumtafuta Bruno
,Bruno ni kijana mtanashati mpenda wanawake na hela za kuhonga hazikumpiga chenga, pia ni MTU ambae anaekubalika kila mahal ni MTU Wa watu
, kwa mbaaaaali Bruno alimuona rose bas kwa furaha na shangwe alimkimbilia na kum_beba
Bruno:rose wangu mambooz
Rose: akiwa ametabasam ebu nishushe kwanza kha hauoni jau mbele za watu bhana...
Bruno: nan unamuogopa, acha mapepe ww huon raha kubebwa na mm, au ndy mpenzi wako atakugombeza kabla hajajib.... Mara Tee akawa amekaribia maeneo Yale kwa mshangao na hasira zilizo zidi akajikuta anakimbia kurud bwenini akiwa Analia kwa sauti kubwa rose akiwa bado mikonon kwa Bruno walistuka na kutazamanana..

Unajua nini kimetokea ......

Itaendelea k**a kuna walio ipenda Ahsanten sana

27/04/2020

Karibuni katika ukurasa wangu ambao naufungua rasmi kwa kupost hadith nzuri,

Half face
11/05/2019

Half face

Love bite
11/05/2019

Love bite

12/02/2019
Proffesion girl
11/02/2019

Proffesion girl

HI
19/10/2018

HI

Address

S. L. P 20950
Butiama

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sky rog posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share