Jeremiah Musa Mpina

Jeremiah Musa Mpina Tour Guiding
Tourism Activities
Nature Is Beautiful πŸ’–πŸ’–πŸ’–, Nature Is Incredible πŸ’«πŸ’«πŸ’«

Kadri siku zinavyozidi kwenda mbele ndivyo hivyo hivyo siku za kuishi zinaongezeka na ndivyo vivyo hivyo siku za kuishi ...
03/06/2025

Kadri siku zinavyozidi kwenda mbele ndivyo hivyo hivyo siku za kuishi zinaongezeka na ndivyo vivyo hivyo siku za kuishi zinapungua kila uchao. Yote kwa yote yatupasa kushukuru kwa yote. Happy Birth day to me

KIPANGA - PEREGRINE FALCON Akiwa katika pozi lenye kuonesha ishara ya kutafakari kitu au jambo, mfano wa Mtu aliyeko kwe...
07/04/2025

KIPANGA - PEREGRINE FALCON

Akiwa katika pozi lenye kuonesha ishara ya kutafakari kitu au jambo, mfano wa Mtu aliyeko kwenye wimbi la mawazo ya kimpango kazi halafu muda huo huo akapata jibu juu ya jambo hilo. Na hivi ndivyo huonekana.

NATURE IS BEAUTIFUL πŸ’–, NATURE IS INCREDIBLE πŸ’«



TOURISM IS ALL ABOUT PEOPLES TO VISIT.
TOURISM IS ALL ABOUT EXPERIENCES πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘§β€πŸ‘¦ πŸ™Œ.

Follo me

THE KING OF BEASTS 🦁SIMBA NDIYE MNYAMA MKUBWA ANAYEWINDA KATIKA JAMII YA PAKA.Simba pia huyu ni mnyama anayependa kuishi...
04/04/2025

THE KING OF BEASTS 🦁

SIMBA NDIYE MNYAMA MKUBWA ANAYEWINDA KATIKA JAMII YA PAKA.

Simba pia huyu ni mnyama anayependa kuishi katika makundi (Pride), yaani kijamaa k**a ilivyokwa binadamu. Familia ya Simba inaweza kuwa na wanafamilia takribani 15 hadi 20.

Simba ni miongoni mwa wanyama ambao hupendelea kukaa katika miamba na nyasi kavu ambazo kwa mbali hufanana kwa mbali na rangi yake (camouflage). Mazingira haya humsaidia kujificha dhidi ya adui anaowavizia ili kuwala. Simba anafanikiwa kwa njia hiyo kwani akiwa katika majani makavu ambayo yanafanana na rangi yake, si rahisi kwa Swala, Pundamilia au mnyama yoyote kujua kwamba kuna Simba.

Simba wakiwa mawindoni, wana uwezo wa kuangusha hata wanyama wakubwa, ingawa si mara nyingi kuwashambulia wanyama wakubwa k**a vile Twiga au Nyati kwa kuhofia kujeruhiwa

Simba wana nguvu nyingi na mara zote huwinda kwa makundi, wakikazania windo moja walilochagua. Hata hivyo, Simba hawana stamina sana. Kwa mfano, moyo wa Simba jike ni asilimia 0.57 ya uzito wa mwili wake huku wa dume ni asilimia 0.45. Linganisha na moyo wa Fisi ambao uzito wa moyo wake ni karibu asilimia moja ya uzito wake.

Simba humnyatia adui mpaka karibu kwa walau mita 30 au pungufu. Baada ya kukaribia, huchagua mnyama aliye karibu. Shambulio huwa fupi na la nguvu. Simba hujaribu kumk**ata kwa kumkurupusha kwa kasi na kisha kumrukia. Mnyama huyo anayewindwa huuawa kwa kunyongwa. Mara kadhaa, mnyama anayewindwa huweza kuuawa kwa kuzibwa mdomo na pua zake kwa taya za simba. Wanyama wadogo huuawa tu kwa kupigwa ngwala kwa mguu wa simba.

Simba anafanikiwa sana katika mbinu zake za uwindaji kwa sababu hana tamaa. Wataalamu wa elimu ya viumbe husema, Simba hulenga mnyama mmoja kwasababu huhofia kuharibu mahesabu ya washirika alionao katika mawindo.

Simba ana uwezo mkubwa wa kuona mbali na kusikia kutoka mbali. Uwezo wake huo humsaidia kuwinda wakati wowote ule anaojisikia, usiku au mchana, hana papara anapowinda na hutumia mahesabu makali tayari hapa Twiga ameshaingia kwenye hesabu.

Follow me

Blue Whales - NYANGUMI. Blue Whale ama Nyangumi ni Mamalia anaeishi majini akiwa ndo Mnyama mkubwa zaidi inchi kavu na M...
20/03/2025

Blue Whales - NYANGUMI.

Blue Whale ama Nyangumi ni Mamalia anaeishi majini akiwa ndo Mnyama mkubwa zaidi inchi kavu na Majini uku akiwa na uzito wa tani kwanzia 180 - 200 yani kilogram 180,000 - 200,000, akiwa matured enough hufikia hadi urefu wa mita 29.9m sawa na 98ft, huu urefu ni sawa na urefu wa Bus mbili kubwa zile za 12m na kadogo kamoja ndo unafikia urefu wake. Pamoja na uzito wake kuwa mkubwa lakini ana uwezo wa kuogelea miles 30 kwa lisaa sawa na kilometres 48.2km sawa na umbali wa kutoka Dar hadi Kibaha.

Nyangumi huishi kwanzia miaka 80 - 90, na predators wake wa kuu ni Orca, Orca ni Dolphin family wanatabia ya kuwinda Nyangumi kwa makundi na wapo vizuri sana katika suala la kuogelea na speed yao ni kali mno hadi kufikia kilometres 56 kwa lisaa, pia kuna Great White Shark huyu ni jamii ya Papa nae ni Predator mzuri sana anaesababisha Nyangumi asiishi kwa amani majini.

Ukomavu wa Nyangumi huanza kwanzia miaka nane (8) hadi miaka 10 hapa Nyangumi anakuwa na uwezo wa kuzaa ama kuzalisha, na hubeba miaka kwanzia miezi 10 hadi 12 na Mtoto anapozaliwa huwa ana uzito kwanzia tani 2 hadi 3, na ndo Mnyama anaeshikilia record Duniani ya kuzaa mtoto mwenye uzito mkubwa zaidi kuliko Wanyama wote Duniani inchi kavu na Majini.

Chakula chake pendwa ni Krills hawa ni jamii ya Samaki wanafanana sana na Dagaa kamba wanapatikana sana ukanda wa Bahari ya Southern (Southern Ocean), na ni chakula pendwa pia kwa Marine animals wengine k**a Seals, Penguin na baadhi ya species za Samaki.

Kutokana na mwingiliano wa kimazingira kwenye upande wa majini, ususani usafiri wa majini, animal trade n.k, Marine Mammal Protection Act ilikuja na sera ya kuwalinda Nyangumi kwa sababu nao ni miongoni mwa viumbe waliopo kwenye hatari ya kupotea na waliolodheshwa na U.S Endangered Species Act, IUCN Red List pamoja na CITES k**a Endangered species.





NATURE IS BEAUTIFUL😍, NATURE IS INCREDIBLE πŸ’«
TOURISM IS ALL ABOUT PEOPLES TO VISIT,
TOURISM IS ALL ABOUT EXPERIENCES πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘§β€πŸ‘¦ πŸ™Œ

Follow me

Garden LocustAcanthacris ruficornis Is a species of bird grasshopper in the family Acrididae, it is found in Africa and ...
15/02/2025

Garden Locust
Acanthacris ruficornis
Is a species of bird grasshopper in the family Acrididae, it is found in Africa and southern Europe.

TOURISM IS ALL ABOUT PEOPLES TO VISIT
TOURISM IS ALL ABOUT EXPERIENCES πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘§β€πŸ‘¦ πŸ™Œ

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Follow me

Ni species tofauti lakini wote lengo lao ni moja nalo ni kuifanya Mbuga izidi kuwa safi tu kila dakika, kila siku, na ki...
25/01/2025

Ni species tofauti lakini wote lengo lao ni moja nalo ni kuifanya Mbuga izidi kuwa safi tu kila dakika, kila siku, na kila wakati ili kuhakikisha wewe unaenda kufunya shughuli za kiutalii Porini basi hukerekina harufu ya aina yoyote ile bali ni u-enjoy mazingira halisia.

TOURISM IS ALL ABOUT PEOPLES TO VISIT
TOURISM IS ALL ABOUT EXPERIENCES πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘§β€πŸ‘¦ πŸ™Œ



Follow me

Visit Serengeti National Park, Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ                          πŸ‡ΉπŸ‡Ώ NATURE IS BEAUTIFUL😍, NATURE IS INCREDIBLE πŸ’«TOURI...
14/12/2024

Visit Serengeti National Park, Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ



πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

NATURE IS BEAUTIFUL😍, NATURE IS INCREDIBLE πŸ’«
TOURISM IS ALL ABOUT PEOPLES TO VISIT, TOURISM IS ALL ABOUT EXPERIENCES πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘§β€πŸ‘¦πŸ™Œ.

Follow me

PIMBI - HYRAX Pimbi hubeba mimba kwa miezi sita ingawa miili yao ni midogo, watoto wanapozaliwa wanakuwa na uwezo wa kur...
19/11/2024

PIMBI - HYRAX

Pimbi hubeba mimba kwa miezi sita ingawa miili yao ni midogo, watoto wanapozaliwa wanakuwa na uwezo wa kuruka na kukimbia baada ya saa moja tu tangu kuzaliwa Na huanza kula vyakula vigumu baada ya wiki mbili tu, ni miongoni mwa Wanyama ambao ni high precocial mammals ambapo watoto wao hu-recover ndani ya muda mfupi tu baada ya kuzaliwa.

Kutokana na kutokuwa na vimelea vya kutosha kusaga chakula, watoto wa Pimbi hula kinyesi cha wazazi wao ili kiwasaidie katika mmeng'enyo wa chakula.

Kingine kizuri kuhusu Pimbi ni kuwa wanakuwa na eneo maalumu kwa ajili ya kujisaidia (choo), inaweza kuwa chini ya mawe au juu ya mawe.

NATURE IS BEAUTIFUL😍, NATURE IS INCREDIBLE
TOURISM IS ALL ABOUT PEOPLES πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘§β€πŸ‘¦ πŸ™Œ
TOURISM IS ALL ABOUT EXPERIENCES.

# # πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Follow me

TWIGA - GIRAFFETwiga ni mnyama mrefu zaidi aishiye Duniani, lakini pia ni nembo ya Taifa letu Tanzania. Twiga ni mpole, ...
19/11/2024

TWIGA - GIRAFFE

Twiga ni mnyama mrefu zaidi aishiye Duniani, lakini pia ni nembo ya Taifa letu Tanzania. Twiga ni mpole, mrefu na anatembea kwa madaha.

Shingo yake ndefu na miguu yake mirefu inamfanya aonekane mwenye kuvutia zaidi. Twiga ana aina mbili za mwendo (Galloping and Ambling), anapokimbia na kutembea miguu yake huenda tofauti, akitembea anaweza kutumia miguu ya upande mmoja pamoja na upande wa pili unafuata au miguu ya mbele ikaruka kwanza na kufuatiwa na miguu ya nyuma kwa pamoja pale anapokimbia na hii inaitwa (Galloping when they running and Ambling when they walking).

Kutokana na urefu wa shingo yake, ili damu iweze kufika kichwani inahitaji nguvu ya ziada, ndiyo sababu Twiga ana moyo wenye uzito usiopungua mpaka kilo 12. Mnyama huyu pia ana ulimi mrefu wa mpaka sentimita 53. Twiga hubeba mimba kwa mpaka miezi 15, na mara nyingi huzaa mtoto mmoja tu.

NATURE IS BEAUTIFUL😍, NATURE IS INCREDIBLEπŸ’–
TOURISM IS ALL ABOUT PEOPLES πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘§β€πŸ‘¦ πŸ™Œ.
TOURISM IS ALL ABOUT EXPERIENCES.



Follow me

THE AFRICAN BRUTAL KILLER.A brutal killer is the behavior of consuming an animal while it's still alive this behavior us...
19/11/2024

THE AFRICAN BRUTAL KILLER.

A brutal killer is the behavior of consuming an animal while it's still alive this behavior used mostly by Hyena and African wild Dog, this two species are carnivores cursorial and cousers.

How do they do for a successful killer while other carnivores stalking for a pret. Wild Dog and Hyena are quetily different. Mostly, they hunt in a group of 2 up to 10 members in a clan of hyena, sometimes up to 20 members of a pack in wild dog. They chasing a prey in a cycle way until one members become behind them it become a victim.

They target old one and sick after prey become exhausted attacked because are cursorial hunter after one get tired another moved up to continue a chase on prey captured this predators don't need suffocating a prey will surprised by a strong bite of any part of the body.

NATURE IS BEAUTIFUL😍, NATURE IS INCREDIBLE.
TOURISM IS ALL ABOUT PEOPLES πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘§β€πŸ‘¦.
TOURISM IS ALL ABOUT EXPERIENCES.



Follow me

DIK DIKThis is a small antelope species and their name dik-dik comes from the sound the females make when they feel thre...
19/11/2024

DIK DIK

This is a small antelope species and their name dik-dik comes from the sound the females make when they feel threatened, acting as an alarm for other dik-diks or animals about the presence of predators.

.tanzania

Follow me

WEAVER - KWERAKwera wengi hujenga kiota na kisha kuimba katika kiota ili kumvutia jike, jike atafika na kukagua kiota hi...
07/11/2024

WEAVER - KWERA

Kwera wengi hujenga kiota na kisha kuimba katika kiota ili kumvutia jike, jike atafika na kukagua kiota hicho, kikimvutia atabaki katika kiota, na asipokipenda anaweza kukivunja na kuondoka au akaondoka tu.. ikitokea amependa na kubaki, basi dume ataanza kujenga kiota kingine kwa ajili ya jike mwingine.

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Address

Mwitongo
Butiama
S.L.P995

Telephone

+255768765336

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jeremiah Musa Mpina posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Jeremiah Musa Mpina:

Share