23/11/2025
GENIOUS SEHEMU YA 3
Ilipoishia jamaa mmoja kanitambua jina nililotumia Taiwan .........nikafikria kumbe wanamtandao mkubwa nikarudi haraka hotelini kwa Mr fox
,,aah salumu karibu hongera umefanya vitu sikutarajia
,,Uskonde ,badae,
Pesa yako nisha ingiza NBC
,,fasta nika toka nikatoka nikaelekea kunununua PC dukani nikarudi fasta
,,simu ikaita ring ring, haloo,
Alikuwa ni nicah
,Umeondoka kimya mtu wang
Nilikuwa napikipik
Kidogonikaona nafatiliwa na gari nyeusi marcedes Benz nika tambua nikundi la akina Federico nikapaki maeneo ya masaki nikaingia katika ficho langu fasta nikadukua camera nikajua nikundi la akina Federico mara namuona Jordan kumbe Jordan ni kijana wa Federico
Kumbe wanakisasi cha mimi kuteketeza madawa yao ya kulevya ile narudi kwa Mr fox nakutana na nicah analia
,, salumu boss ,
,,boss?watakuwawamemteka fox sio
,,ikabidi nifanye mawasiliano na mkuu
General masanja
,,haloo Mr blessing alizoea kuniita blessing
,,Nimekupigia naomba kuandaliwa ticket nielekee MEXICO SASA kesho asubuhi Jiji la san Gabriel nikarudi kudukua kundi la akina Federico nika tambua anamtuwake wa karibu hapo San Gabriel
,,asubuhi namapema nikaelekea uwanja wa MWALIMU JULIUS KAMBALAGE NYERERE nika pepea na ndege
,,nilipewa details sehemu ya kufikia
Nilakapokelewa na kijana kwa jina Pablo aka nipeleka katika nyumba iliokuwa nje kidogo ya mji sikuwa na muda wa kupumzika nikafanya utafiti MR Federico ana mtuwake wa karibu anaempelekea kambini madada poa akifahamika k**a felix
Nika jiuliza inabidi nipatee usaidiz kutoka kwa General masanja nikajisemea hapana ntawatumia wao hao hao nilielekea mataa wa Don mad nkamkuta Felix katika chimbo anapochukua madada pow nikamsomea game alikuwa kalewa
Akaelekea msalani akiwa na vijanawake wawili waliojengeka misuli kisawasa bilakupoteza muda nilielekea ilenakaribia mmoja aliklfoka
,,ooya boya unaendawapi?
sikuwa namuda wa kupoteza nikawatandika kubaya wakazima nikawahi kwa Mr Felix
,,oooh salumu
,,Ndo m