Baobab Roadblock Festival

Baobab Roadblock Festival Located studio Bagamoyo

24/12/2025

Yooh! We Coming Outside its .cypher
Mwaka unafungwa ki Hip Hop ndani ya Mji Mkongwe kwa Wakongwe wa Sanaa!

Host .tv_

25/10/2025
27/06/2025

Baobab Cypher Stage at
Get Ready





Exhibition by Legend Kingston Bagamoyo  Happening now at
11/12/2024

Exhibition by Legend Kingston Bagamoyo Happening now at







Heshima na Saluut nyingi saana kwa Kamanda Mula KalApina Kikosi Cha Mizinga Nabi Coco, Jeba Kiongozi  Mchango wako ni Mk...
08/11/2024

Heshima na Saluut nyingi saana kwa Kamanda Mula KalApina Kikosi Cha Mizinga Nabi Coco, Jeba Kiongozi Mchango wako ni Mkubwa sana kwenye Hardcore Hip Hop Tanzania na East Africa kwa ujumla!

1: Kufa au Kupona ni Album Bora na haijawahi tokea kwenye Hip Hop Industry Tanzania.

2: Hip Hop bila Madawa ya Kulevya iliunganisha emcees wenye uwezo Mkubwa na kufikia lengo la kupambana na vita dhidi ya Madawa ya Kulevya,

3: Harakati Foundation inazidi kupambana na Madawa ya Kulevya sio tu kwenye Hip Hop bali Tanzania nzima, Kuikomboa jamii dhidi ya utumwa wa Madawa ya Kulevya kupitia Television, Jukwaani na mtaani.

Real Recognize Real







Address

1874
Bagamoyo
1874

Telephone

0655241874

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Baobab Roadblock Festival posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share