Idd Mwimbe

Idd Mwimbe Kutana na Harakati mbalimbali zinazofanywa na Idd Mwimbe kuhusu ushairi, kiswahili na mambo mengine ya kijamii...

13/06/2026

Haya kumekucha...!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

09/06/2026

Ikitokea farasi anapata kifafa mtaani kwenu, dawa k**a hii itapatikana? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

29/05/2026

Mnaofanya biashara ya kusafirisha ndizi, angalieni mnavyopigwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

21/05/2026

Eti anastahili kuwa tajiri namba 1 Tanzania? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

05/05/2026

Tuwe na tahadhari kipindi hiki cha mvua...

25/04/2026

Tarehe 23 Aprili ni siku ya usomaji wa vitabu duniani, nilipata fursa ya kuhojiwa na UFM Redio kuhusu umuhimu wa usomaji wa vitabu katika zama hizi za sayansi na teknolojia.
Muhimu: Utenzi Majumui wa Karne ya 21 kinatumika Kidato cha 5 na 6, si darasa la 5 na la 6 k**a alivyosema mtangazaji.
Jipatie nakala yako kwa Tsh 10,000 tu

22/04/2026

Pata ladha ya ushairi wa Kiswahili katika mahadhi ya Kihindi

18/04/2026

Ndg. Godwin Usichoke, kutoka Uganda akizungumzia kuhusu Utenzi Majumui wa Karne ya 21, wa Idd Mwimbe

13/04/2026

Kuhusu jalada la Utenzi Majumui wa Karne ya 21

Address

Bagamoyo

Telephone

+255716780803

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Idd Mwimbe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Idd Mwimbe:

Shortcuts

Share

Category