Chadog's News

Chadog's News Tazamia mambo mazuri na mengi kupitia page hii,utajifunza mengi, kijamii na kimataifa.habari motomoto na taarifa za wasani ndani na nje ya nchi.enjoy ur pa

16/09/2024
K**a ndoto zako ni kuolewa na mwanaume wa ndoto zako basi unatakiwa kujifunza kuwa lugha nzuri kwa watu wanaokuzunguka. ...
06/03/2024

K**a ndoto zako ni kuolewa na mwanaume wa ndoto zako basi unatakiwa kujifunza kuwa lugha nzuri kwa watu wanaokuzunguka.

Unatakiwa kuwa na lugha nzuri kwa sababu wapo baadhi ya watu humtasfiri mtu kutokana na kile amabacho unakizungumza.

Wanaume wengi hushusha thamani ya mwanamke hususani suala la mwanamke huyu kutamka matusi mengi kwenye kinywa chake.

Hivyo ikiwa una nia njema ya kutaka kuolewa unapaswa kuwa na heshima sana hususani kwenye suala la uzungumzaji.

Ijenge thamani zaidi kwa kuzungumza lugha yenye kukujengenea taswira chanya kwa wale wanakusikiliza.

Jifunze kuwa mnyenyekevu kwenye suala la kuzungumza, lugha yako nzuri ndiyo itakayowafanya watu wengine waone thamani yako.

Hakika Kiburi na Ujuaji Utaishia Kuwa Nungayembe wakupigwa na kusepa

Wakikuuliza sana kuhusu sisi waambie hata wao wamesema…. “Si kwamba nimekwisha kufika, au nimekwisha kuwa mkamilifu; la!...
15/10/2023

Wakikuuliza sana kuhusu sisi waambie hata wao wamesema….

“Si kwamba nimekwisha kufika, au nimekwisha kuwa mkamilifu; la! Bali nakaza mwendo ili nipate kulishika lile ambalo kwa ajili yake nimeshikwa na Kristo Yesu.

Ndugu, sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika; ila natenda neno moja tu; nikiyasahau yaliyo nyuma, nikiyachuchumilia yaliyo mbele; nakaza mwendo, niifikie tuzo la thawabu ya mwito mkuu wa Mungu katika Kristo Yesu.”
‭‭Wafilipi‬ ‭3‬:‭12‬-‭14‬ ‭SRUV‬‬

Muda unaotumia kumsema mtu kwa yale unayohisi ni mabaya yake , ungeutumia kumuombea, the world would have been a better place because of you. Watu hawabadiliki kwasababu mnawasema na kuwasengenya k**a mngetumia muda huo huo kuwaombea mngeona wanabadilika.
Tuko hapa tulipo kwasababu kuna watu wanatuombea, ungeongezeka na wewe labda tungekuwa Bora zaidi kuliko upotuacha.
Usiache kuwaambia…..

20/07/2023
29/01/2023

DOWNLOAD Dayoo - Moyo - Another song from Tanzanian Talented singer and songwriter known as Dayoo song called MOYO.

29/01/2023

DOWNLOAD Dakota Ft Mbosso Mungu Atusamehe - Dakota Mtu Hatari has back with another singeli 2023 Featuring Mbosso Mungu Atusamehe.

16/01/2023

Club ya Simba SC imetangaza kumsajili Jean Othos Baleke (21) kuwa Mchezaji wao mpya ikiwa ni saa chache zimesalia kabla ya kufungwa kwa dirisha dogo la usajili.

Inaripotiwa Simba SC imemsajili Mchezaji huyo kwa mkataba wa miaka miwili (2025) akitokea TP Mazembe ya nchini kwao Congo DR.

Baleka anatarajia kuwasili Simba SC mwanzoni mwa wiki hii akitokea Lebanon alipokuwa anacheza kwa mkopo Nejmeh SC, msimu huu amecheza game 11 na kufunga magoli 3 na assist 1.

30/12/2022

Aliyekuwa mchezaji wa soka maarufu ulimwenguni, Pele amefariki Dunia leo Desemba 29 baada ya kusumbuliwa na kansa kwa muda mrefu. Pele raia wa Brazil ambaye alibeba Kombe la Dunia mara 3 amekufa akiwa na miaka 82.



Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chadog's News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Chadog's News:

Share