27/08/2026
Kuna watu hawawezi kuwa wao wenyewe. Hawawezi kufanya maamuzi yao, kuamini sauti zao za ndani, Hata k**a anajua 1 +2 = 2, lakini bado atamuuliza mwingine, hata akiambiwa ni 3 ataacha jibu lake na kuchukua la mtu mwingine. Unajiona ya kwamba you are not enough.
Kuna kitu kinaiwa satanic manipulation, shetani anacheza na akili, nafsi na hisia za mtu, akimsababisha afanye mambo ambayo yanakuwa na faida yake. huwezi kuamua mpaka kuna sauti za watu zikuamulie katika uhalisia au sauti za ajabu katika roho ambazo hazitokani na Mungu. Amekuwekea hofu na mipaka ya kutosha. Satanic manipulation is a slow thief. Anaiba kidogo kidogo mpaka unafika mahali unaona kabisa hujimiliki. na hata thamani yako inaanza kupimwa kwa macho yao.
Ukiona unaanza kutilia mashaka kila uamuzi wako, mawazo yako na hata nafsi yako; ,omba
Usiwe mtu wa kutafuta approval kila kitu. Kuna watu ambao hawastahili kuwa na sauti katika maisha yako. Jitahidi kujenga your own voice, kwa sababu manipulation huanza kwa kunyamazisha sauti yako mwenyewe.