Sanawari fans

Sanawari fans is all about helping people, people help them self! and thats wats up!

27/03/2017

IMEANDALIWA NA MAWAKILI.

1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako.

2. Askari akikuk**ata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahak**a k**a anasema ametumwa na mahak**a kukumata, ni haki yako.

3. Askari akikuk**ata akwambie kwanini anakuk**ata na anakupeleka kituo gani, ni haki yako.

4. Unaruhusiwa na sheria kukataa kuk**atwa hata kutumia nguvu k**a hukuambiwa sababu ya kuk**atwa.

5. Askari anapokiuka taratibu za uk**ataji anageuka na kuwa mhalifu ni haki yako kujikinga naye.

6. Askari haruhusiwi kukuvuta shati, kukukaba koo, kukushika suruali k**a hujakataa kukri amri halali.

7. Askari haruhusiwi kuondoka na mtu mwingine baada ya kumkosa mtuhumiwa halisi.

8. Askari haruhusiwi kupekua nyumba ya mtu bila kibali cha kupekua.

9. Askari lazima akuoneshe kibali cha kupekua na ukisome.

10. Kibali kieleze jina la aliyekitoa, kituo kilipotolewa,jina la mtu au sehemu ya upekuzi, au uchanganuzi wa mtu au sehemu.

11. Hairuhusiwi kupekuliwa usiku kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 12 asubuhi.

12. Ni haki yako kumpekua askari kabla hajakupekua ili asipandikize kitu.

13. Usipekuliwa nyumbani bila kuwapo kiongozi wa mtaa.

14. Kila kitakachochukuliwa katika upekuzi lazima kiandikwe na askari aweke sahihi.

15. Mali iliyochukuliwa katika upekuzi lazima ibaki salama.

16. Mwanaume haruhisiwi kumpekua mwanamke na mwamke haruhisiwi kwa mwanaume.

17. Unaruhusiwa kukataa kupekuliwa iwapo taratibu hizi hazikufuatwa.

18. Askari haruhusiwi kukutukana wala kukupiga.

19. Unaruhusiwa kutozungumza lolote mpaka unayemuamini afike uwapo chini ya ulinzi, ni haki yako.

20. Usilazimishwe kuongea au kuandika ambacho hutaki, ni haki yako.

21. Usitoe maelezo bila uhakika yatatumika mahak**ani yatakuletea shida.

22. Unaruhusiwa kukaa kimya na usizungumze kitu uwapo chini ya ulinzi.

HIZI ZOTE NI HAKI ZAKO, ZILAZIMISHE USIBEMBELEZE WALA USIZIOMBE.

SHARE UJUMBE HUU KWA WATU WOTE WANAO PENDA UTULIVU NA AMANI KATIKA KUPAMBANA NA UONEVU NA MANYANYASO YA VYOMBO VYA DOLA PALE AMBAPO UONEVU NA UKIUKAJI WA SHERIA NA HASA UBAMBIKIZAJI WA MA KESI YA UONGO....!

27/03/2017
27/03/2017

Maelfu ya raia wamekusanyika katika maeneo tofauti nchini Urusi wakiandamana kupinga kile wanachodai matumizi mabaya ya fedha za umma.

26/03/2017
26/03/2017

Baada ya mswada huo kuondolewa na Rais, Spika Paul Ryan alitangaza, “Tutaendelea kuishi na sheria ya Afya, Obamacare kwa kipindi kirefu kijacho.

26/03/2017

Mzee Ndugai anaongelea Airport press yake na wanahabari sijajua lengo lake huenda anataka afunguke halafu apande p**a asepe. kaka Maulid Kitenge usikae mbali na Ndugai

Address

Sanawari
Arusha
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sanawari fans posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share