Upendo Choir - St.james Anglican Church Arusha

Upendo Choir - St.james Anglican Church Arusha UPENDO CHOIR ST.JAMES OFFICIAL
Anglican Church. Arusha, Tanzania. Since 1967
"Sisi tunamuhubiri Kristo aliyesulubiwa"
đź“€Furaha gani.
đź“€Ndugu zangu.

New đź“€comming soon.

31/03/2024
13/05/2020

BTVONLINE | BMEDIA™ We Offer Services :- |Producing Video Music | Producing Audio Music| |Producing Program TV and Radio |Graphics Design| Find us...

Kaa mkao wa kupokea
01/05/2020

Kaa mkao wa kupokea

11/04/2020

ST.JAMES BTVONLINE | BMEDIA™ We Offer Services :- |Producing Video Music | Producing Audio Music| |Producing Program TV and Radio |Graphics Design| Find us t...

Anaye stahili kupigiwa Magoti/kuabudiwa ni Mungu wetu peke ,Musiabudu miungu mingine ila Mungu wetu Aliye Umba Mbingu na...
02/07/2019

Anaye stahili kupigiwa Magoti/kuabudiwa ni Mungu wetu peke ,
Musiabudu miungu mingine ila Mungu wetu Aliye Umba Mbingu na nchi ,Aliye mtoa mwanae wa peke Yesu kristo kwa ajili yetu

Picha na Mpiga PICHA wetu

Tuna jivunia kuwa na watumishi wenye vipawa tofauti tofauti katika kwaya hiiShambani mwa Bwana mavuno ni mengi lakini wa...
02/07/2019

Tuna jivunia kuwa na watumishi wenye vipawa tofauti tofauti katika kwaya hii

Shambani mwa Bwana mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache na sisi hatutaacha kuingia kufanya KAZI katika shamba la Bwana wetu ,mawe hayataimba ingali sisi tu Hai Mungu tutumie k**a upendavyo
Mungu Mubariki Mtumishi wako

Picha na Mpiga PICHA wetu

Tuna jivunia kuwa na watumishi wenye vipawa tofauti tofauti katika kwaya hiiShambani kwa Bwana mavuno ni mengi lakini wa...
02/07/2019

Tuna jivunia kuwa na watumishi wenye vipawa tofauti tofauti katika kwaya hii

Shambani kwa Bwana mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache na sisi hatutaacha kuingia kufanya KAZI katika shamba la Bwana wetu ,mawe hayataimba ingali sisi tu Hai Mungu tutumie k**a upendavyo

Mungu Mubariki Mtumishi wako

Hii ni moja ya faida ya kuwa na Vijana Kwenye kwaya Tunajivunia kuwa na Vijana Kwenye kwayaPicha na Mpiga PICHA wetu
02/07/2019

Hii ni moja ya faida ya kuwa na Vijana Kwenye kwaya
Tunajivunia kuwa na Vijana Kwenye kwaya

Picha na Mpiga PICHA wetu

Hii ni moja ya faida ya kuwa na Vijana Kwenye kwaya Tunajivunia kuwa na Vijana Kwenye kwaya
02/07/2019

Hii ni moja ya faida ya kuwa na Vijana Kwenye kwaya
Tunajivunia kuwa na Vijana Kwenye kwaya

Address

3103
Arusha

Telephone

+255 765 783 537

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Upendo Choir - St.james Anglican Church Arusha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Upendo Choir - St.james Anglican Church Arusha:

Share

Category