Arusha yetu

Arusha yetu Radio Tv Personality
Senior Broadcast Journalist(TV and Radio Host/Corporate Communication Expert/at

Radio Tv on air Personality
Senior Broadcast Journalist(TV and Radio Host/Corporate Communication Expert/at M J Fm Radio 93.0 ARUSHA.

TASAF YAENDELEA KUWANUFAISHA WANANCHI MKOANI SIMIYU
11/04/2018

TASAF YAENDELEA KUWANUFAISHA WANANCHI MKOANI SIMIYU

Baadhi ya Viongozi wa Serikali na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Simiyu wakikagua shamba la pamba la...

RAIS MAGUFULI: MZEE KIKWETE WATANZANIA TUNAKUKUMBUKA
11/04/2018

RAIS MAGUFULI: MZEE KIKWETE WATANZANIA TUNAKUKUMBUKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Nchi kabla...

Mch. Msigwa amvaa Jerry Muro, ni tuhuma za kumtelekeza mtoto
11/04/2018

Mch. Msigwa amvaa Jerry Muro, ni tuhuma za kumtelekeza mtoto

Mbunge wa Iringa mjini kupitia tiketi ya Chadema, Mch. Peter Msigwa amezidi kukana madai ya kumtelekeza mtoto na kueleza kuwa taarifa hizo...

Serikali: Marufuku Kuoa, Kuolewa Bila Kutoa Taarifa
11/04/2018

Serikali: Marufuku Kuoa, Kuolewa Bila Kutoa Taarifa

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Tellack SERIKALI ya Kata ya Nsalala, Tarafa ya Itwangi, mkoani Shinyanga vijijini imetunga sheria...

Rais Magufuli avutiwa na maisha ya Dkt. Kikwete ‘nitastaafu, sitaongeza hata dakika
11/04/2018

Rais Magufuli avutiwa na maisha ya Dkt. Kikwete ‘nitastaafu, sitaongeza hata dakika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa anavutiwa na maisha ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne ...

SERIKALI KUZIFUTIA USAJILI NGOs ZITAKAZOFANYA KAZI KINYUME NA SHERIA
11/04/2018

SERIKALI KUZIFUTIA USAJILI NGOs ZITAKAZOFANYA KAZI KINYUME NA SHERIA

Mkurugenzi wa Idara ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali na Msajili wa Mashirika hayo Bw. Marcel Katemba akizungumza na Wasajili Wasai...

  Viongozi wa Muungano wa Upinzani Nchini Kenya NASA, wanakutana leo kujadili masuala mbalimbali, kubwa likiwa ni kuapis...
15/01/2018


Viongozi wa Muungano wa Upinzani Nchini Kenya NASA, wanakutana leo kujadili masuala mbalimbali, kubwa likiwa ni kuapishwa kwa kiongozi wao Raila Odinga k**a rais wa watu, tarehe 30 mwezi huu jijini Nairobi.
Msumbanews.co.tz

Msumbanews.com
04/09/2017

Msumbanews.com

03/09/2017

Mwenyekiti wa BAWACHA, Halima Mdee amewataka wanawake kutolalamika na kujilegeza ili wasaidiwe badala yake wawe jasiri kisiasa. .

Chemical amefunguka jinsi alivyojisikia baada ya kufanya kazi na Nahreel. Mashabiki wamezoea kumuona Chemical akiachia k...
26/12/2016

Chemical amefunguka jinsi alivyojisikia baada ya kufanya kazi na Nahreel. Mashabiki wamezoea kumuona Chemical akiachia kazi zake ambaozo zimetayarishwa na Maximizer lakini kwenye project mpya ya ‘Hola Hola’ imekuwa ya kwanza kumsikia rapper huyo akifanya na producer mwingine. Akiongea na Msumbanews.com kwa njia ya simu , Chemical amesema, “Nilifurahi kufanya kazi na Nahreel kwa sababu ni mtu ambaye nilikuwa natamani kufanya naye ngoma, ukiachana na hiyo ‘Hola Hola’ nilikuwa natamani sana kufanya naye ngoma yangu k**a mimi.” [ 39 more words ]

http://msumbanews.com/2016/12/msanii-chemical-amezungumza-haya-kuhusu-narheel.html

  Chemical amefunguka jinsi alivyojisikia baada ya kufanya kazi na Nahreel. Mashabiki wamezoea kumuona Chemical akiachia kazi zake ambaozo zimetayarishwa na Maximizer lakini kwenye project mpya ya ‘Hola Hola’ imekuwa ya kwanza kumsikia rapper huyo akifanya na producer mwingine. Akiongea na Msumbanew...

PICHA 30 : WCB WALIVYOKINUKISHA IRINGAhttp://msumbanews.com/2016/12/picha-30-wcb-walivyokinukisha-iringa.html
26/12/2016

PICHA 30 : WCB WALIVYOKINUKISHA IRINGA
http://msumbanews.com/2016/12/picha-30-wcb-walivyokinukisha-iringa.html

Home BURUDANI PICHA 30 : WCB WALIVYOKINUKISHA IRINGA BURUDANIPICHA 30 : WCB WALIVYOKINUKISHA IRINGA By Msumbanews - December 26, 2016 4 0 SHARE Facebook Twitter SHARE Facebook Twitter tweet Previous articlePICHA : MKULIMA ALIYECHOMWA MKUKI MDOMONI MKOANI MOROGORO Msumbanews RELATED ARTICLESMORE FROM...

Mkulima mmoja wa kitongoji cha Upwapwani kijiji cha Dodoma Isanga kati ya Masanze jimbo la Mikumi Morogoro amejeruhiwa v...
26/12/2016

Mkulima mmoja wa kitongoji cha Upwapwani kijiji cha Dodoma Isanga kati ya Masanze jimbo la Mikumi Morogoro amejeruhiwa vibaya kwa kuchomwa mkuki mdomoni na kutokezea nyuma ya Shingo yake. Ambapo alipelekwa hospitali ya wilayani Kilosa na baadaye akakimbizwa Hospitali ya Mkoa Morogoro ili kufanyiwa Operesheni ya kuondoa Mkuki huo Kijana huyo aliyetambulika kwa Jina la Augustino Mtitu alishambuliwa na wafugaji wa kimasai alipokuwa akimsaidia Jirani yake kufukuza Ng'ombe wasiharibu mazao shambani kwake.katika vurugu hizo inasemekana Mwenyekiti wa kijiji na Mwenyekiti wa kitongohi hicho nao wamejeruhiwa . [ 57 more words ]

http://msumbanews.com/2016/12/picha-mkulima-aliyechomwa-mkuki-mdomoni-mkoani-morogoro.html

Mkulima mmoja wa kitongoji cha Upwapwani kijiji cha Dodoma Isanga kati ya Masanze jimbo la Mikumi Morogoro amejeruhiwa vibaya kwa kuchomwa mkuki mdomoni na kutokezea nyuma ya Shingo yake. Ambapo alipelekwa hospitali ya wilayani Kilosa na baadaye akakimbizwa Hospitali ya Mkoa Morogoro ili kufanyiwa O...

Address

Arusha
ARUSHA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Arusha yetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Arusha yetu:

Share