15/10/2024
Habari ya mudaa huu
Naitwa fabian Martine Maziku
Ni MC katika shuhuli mbali mbali nakuja hapa kwa lengo la kuomba kura yako ikiwa ninashiriki katika Tuzo za MDAU SHUPAVU
✓Kupiga kura ingia Google andika VOTING HOLYSMILE
✓jaza details Kisha chagua category ya BEST UPCOMING MC
✓ Kisha chagua MC KASSANZU
THEN, submit
🎯Kura yako Ni chaguo sahihi ya burudani kwenye sherehe yako. Barikiwa Sana mtu was mungu.
Asante