DMK.Anglican Alfa & Omega choir Arusha.

DMK.Anglican Alfa & Omega choir Arusha. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from DMK.Anglican Alfa & Omega choir Arusha., Choir, Arusha.

Zab.133. 1-31 Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.2 Ni k**a mafuta mazuri kichwani, Y...
17/01/2024

Zab.133. 1-3

1 Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.

2 Ni k**a mafuta mazuri kichwani, Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni, Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.

3 K**a umande wa Hermoni ushukao milimani pa Sayuni. Maana ndiko Bwana alikoamuru baraka, Naam, uzima hata milele.

Happy Birthday to you Madame  " Loveness "umekuwa na siku njema sana kwako na kwetu pia uishi sana sauti ya tatu
24/12/2023

Happy Birthday to you Madame " Loveness "umekuwa na siku njema sana kwako na kwetu pia uishi sana sauti ya tatu

Tabasam lako limekoma tunalia kiasi Hatuoni tumaini limepotea tusemenn Juu ya  ukuu  wa Mungu umetuacha kipindi tunakuhi...
01/12/2023

Tabasam lako limekoma tunalia kiasi Hatuoni tumaini limepotea tusemenn Juu ya ukuu wa Mungu umetuacha kipindi tunakuhitaji mwimbaji mwenzetu SARAH SADIKIEL Pole kwa familia hasa kwa amwenyekiti wetu uliemucha na watoto wadogo Mungu ampiganie katika kipindi hiki kigumu

17/11/2023

Kutoka 14.13-14.

13 Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.

14 Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.

15 Bwana akamwambia Musa, Mbona unanililia mimi? Waambie wana wa Israeli waendelee mbele.

26/08/2023

Kwaya Marafiki tulipokuwa kwao kwenye Tamasha la wimbo niupendao Tunamtukuza Mungu kuwa nanyi

28/07/2023

Injili ya k**a alivyoiandika Marko mt. Tujifundishe kitu hapa

1 Akatoka huko, akafika mpaka nchi ya kwao; wanafunzi wake wakamfuata.

2 Na ilipokuwa sabato, alianza kufundisha katika sinagogi; wengi waliposikia wakashangaa, wakisema, Huyu ameyapata wapi haya? Na, Ni hekima gani hii aliyopewa huyu? Na, Ni nini miujiza hii mikubwa inayotendeka kwa mikono yake?

3 Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na maumbu yake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.

4 Yesu akawaambia, Nabii hakosi heshima, isipokuwa katika nchi yake mwenyewe, na kwa jamaa zake, na nyumbani mwake.

5 Wala hakuweza kufanya mwujiza wo wote huko, isipokuwa aliweka mikono yake juu ya wagonjwa wachache, akawaponya.

6 Akastaajabu kwa sababu ya kutokuamini kwao. Akazunguka-zunguka katika vile vijiji, akifundisha.

7 Akawaita wale Thenashara, akaanza kuwatuma wawili wawili, akawapa amri juu ya pepo wachafu;

8 akawakataza wasichukue kitu cha njiani isipokuwa fimbo tu; wala mkate, wala mkoba, wala pesa za bindoni;

9 lakini wajifungie viatu; akasema, Msivae kanzu mbili.

10 Akawaambia, Mahali po pote mtakapoingia katika nyumba, kaeni humo hata mtakapotoka mahali pale.

11 Na mahali po pote wasipowakaribisha ninyi wala kuwasikia, mtokapo huko, yakung'uteni mavumbi yaliyo chini ya miguu yenu, kuwa ushuhuda kwao.

12 Wakatoka, wakahubiri kwamba watu watubu.

13 Wakatoa pepo wengi, wakapaka mafuta watu wengi waliokuwa wagonjwa, wakawapoza.

14 Naye Mfalme Herode akasikia habari; kwa maana jina lake lilikuwa kutangaa, akasema, Yohana Mbatizaji amefufuka katika wafu, na kwa hiyo nguvu hizi zinatenda kazi ndani yake.

15 Wengine walisema, Ni Eliya. Wengine walisema, Huyu ni nabii, au ni k**a mmoja wa manabii.

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DMK.Anglican Alfa & Omega choir Arusha. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category