14/10/2019
.
ARUSHA ARUSHA ARUSHA
TANZANIA HIP HOP PRESS CONFERENCE tarehe 19 october 2019 ndani ya VIA VIA
k**a wewe ni msanii wa HIP HOP au Shabiki wa Muziki wa HIP HOP usikose kwenye kongamano la ujasiriamali kwenye hip hop ambalo lengo lake kubwa ni kutoa mafunzo pamoja na Burudani.
burudani kibao kutoka katika Nguzo za hip hop zitakuepo.
+ MC's
+ DJ
+ Bboying (majoka)
+ Graffit (machata)
pamoja na wakufunzi wakubwa wa ujasiriamali kwenye HIP HOP watakuepo.
Mr akilikubwa
kutoka AKILIKUBWA DIGITAL
ambaye atazungumzia nguvu ya mitandao ya kijamii (Power of social media) na Digital platform katika kukuza muziki na kuuza muziki wa HIP HOP
Jacob Zuga
mkufunzi wa Bboying.. huyu ni moja ya mwanahip hop aliyefanikiwa sana kupitia Bboying, atakuepo kuelezea Bboying inavyoweza kukuza utamaduni wa hip hop lakini pia inavyoweza kufanywa kwa ukubwa zaidi
Dj Azhuu
kutoka Radio 5
huyu ni moja ya Dj ambaye amefanikiwa sana, atakuepo kuzungumzia uhusiano kati ya msanii na Radio jinsi unavyotakiwa kuwa.
Mubarak Tulio
kutoka Brave heart Inc
huyu ni moja ya watu wanaoishi kwenye misingi ya Hip hop, aliyafanikiwa sana kwa kufanya mambo kadhaa ya kiujasiriamali bila kuvunja misingi ya hip hop.
atakuepo kuzungumzia UJASIRIAMALI KWENYE HIP HOP
usikose tarehe 19 october 2019
maeneo ni VIA VIA
mchakato wa mlangoni ni Tsh elfu 5 tu (5000/=)
mawasiliano: 0755836463 (k**a unahitaji kushiriki kivyovyote, mfano una brand yako au bidhaa zako unahitaji kuzitangaza siku ya event, wasiliana nasi kupitia namba hii 0755836463)