05/10/2022
Habari ndugu zangu wakristo, Tumsifu Bwana wetu yesu kristo wa nazareti. Kwa majina ninaitwa Innocent Sabaya Mollel au jina la kazi ni Inno Masai one. Mimi ni muimbaji pia namtumikia Mungu kwa nyimbo za injili. Naombeni support yenu kwa kulike, kufollow na kusubscribe YouTube channel yangu ili niweze kukua na kuwafikishia watu wengi habari za Mungu kupitia uimbaji.
Hapo chini ni link ya youTube Channel Yangu
https://youtube.com/channel/UCKfzOXV2mv1tbems564z5iQ