26life Africa

26life Africa Art & Music & Entertainment, wise_sayings, Powerful_Thoughts,Finest_Shots, Wonderful_Nature,Super_Car

🤣🤣🤣🤣memes😂😂😂😂
14/06/2026

🤣🤣🤣🤣memes😂😂😂😂

Racing 🏎️ movies 🍿 to 😁 watch 🎥🏎️🍿🍿
11/06/2026

Racing 🏎️ movies 🍿 to 😁 watch 🎥🏎️🍿🍿

John Depp 😁 movies 🍿 to 😁 watch 🍿🎥
11/06/2026

John Depp 😁 movies 🍿 to 😁 watch 🍿🎥

Heist💰 Movies🎥 🍿 to 😁 watch 😁🍿🍿💰💰
11/06/2026

Heist💰 Movies🎥 🍿 to 😁 watch 😁🍿🍿💰💰

VITA VYA ARUSHA 1900Baada ya Emutai (Kwa wale ambao hawakusoma Angalizia hapa: (https://www.facebook.com/photo?fbid=9936...
20/05/2026

VITA VYA ARUSHA 1900

Baada ya Emutai (Kwa wale ambao hawakusoma Angalizia hapa: (https://www.facebook.com/photo?fbid=993603496543885&set=a.177720201465556) na Vita vya ndugu wawili iliogawa wamasai (Kwa wale ambao hawakusoma Angalizia hapa: (https://www.facebook.com/photo/?fbid=996779849559583&set=a.177720201465556) wamasaai walidhoofika sana. Wakoloni Wa Kiingerza huko Kenya na Wajerumani huku Tanganyika waliimarisha utawala wao na kuendelea kupora Ardhi ya Wenyeji hasa Masaini.

Wamasai wa Tanganyika Irkisongo hawakukubali kushindwa waliunda umoja pamoja na Waarusha wakaandaa jeshi kubwa la Wamorani kupambana na Wajerumani walioshikilia Maeneo mazuri kando kando ya Mlima Meru. Wamorani wa Kimasai, Waarusha na baadhi ya Wameru, Walikuwa wakivamia na kuwauwa Askari na walowezi wa kijerumani mara kwa mara.

Kiongozi wa Wajerumani Kurtz Johannes, alipoona kuwa Wamasai na Waarusha wamedhoofika kwa njaa na magonjwa, akaanzisha uvamizi wa maeneo ya waarusha na kuwahamisha Waarusha kwenda juu mlimani.

Tarehe 19, Oktober 1886, Wamorani wa Kiarusha walilipiza kisasi walivamia kambi ya wajerumani na kuuwa wamishenari wawili wa kijerumani. Johannes naye aliandaa vita vya kufa na kupona ili kuweza kuwanyamazisha Waarusha.Johannes alianzisha vita dhidi ya Waarusha. Wajerumani walileta kikosi maalum cha kivita wakiwa na aina ya makombora na bunduki za rashasha iitwayo Maxim Gun na pia Wajerumani walisaidiwa na wachagga waliokuwa wakiongozwa na Mangi Rindi. Ilipofika Oktoba 31, 1896 Waarusha walishindwa vita. Wamorani wengi waliteketea na waliosalia walik**atwa pamoja na wamorani wa kimeru na Mifugo yao kukamtwa na mashamba na nyumba zao kuteketezwa kwa moto. Walowezi wengi walikuja na kuanzisha mashamba ya kahawa na mipira. Lakini Johannes alitaka kuwadhalilisha na kuwakatisha tamaa Waarusha. Mwaka 1899 Johannes aliwalazimisha Waarusha wakiwemo wale Morani wao waliok**atwa, kumjengea ngome "Boma la Arusha" (Majengo haya yapo katika ofisi za Manispaa ya Arusha). Walijenga na likakamilika mwaka 1901 na huo ndio ukawa mwisho wa utawala wa Waarusha.

Irkisongo hawakukubali kutulia, waliunda jeshi kubwa wakishirikiana na Waarusha walioporwa ardhi yao. Wakawa wanashambulia makambi ya Wajerumani usiku na kuwarusha ng'ombe walionyang'anywa awali na Wakoloni. Makabila haya mawili yalikuwa na uwezo mkubwa sana wa kivita lakini vita vyao waliweza tu kupigana mbugani uso kwa uso. Waliweza kuwazingira Wajerumani na kushambulia misafara yao na vituo vidogo vidogo vya kijerumani.

Wajerumani wakajipanga na kutega silaha zao makombora na bunduki za rashasha (Machine Guns) kuzunguka maeneo yote yenye walowezi wao. silaha hizo zilielekezwa mbugani kwenye tambarare ambapo Waarusha na Wamasai watatokea.

Jeshi la Morani likajitokeza asubuhi wamejipanga kwa mstari kwa upana, Wakaanza kuimba na kusogea mbele wakutane na wajerumani uso kwa uso. Wajerumani wlikuwa waejipanga. Wakaanz kurusha makombora Wamorani waliendelea kusonga mbele licha ya wengine kuuwawa. Walisonga mbele na kuvuka kikosi cha makombora huku wakiwauwa wajerumani wengi na vibaraka wa Mangi Rindi. Walipovuka kikosi cha makombora wakakutana na kikosi cha Mashine gun. vita vilikuwa vikali lakini Wamasai na waarusha walishindwa pamoja na kupigana kishujaa hawakuweza kushindana na silaha hizo za kijerumani.

Vita hivi vilipiganwa maeneo ya Akeri (Tengeru) na Selian (Ngaramtoni). Huo ndio ukawa mwisho wa Injorin.

Vita vya kwanza vya dunia vilipoanza, Wakoloni wa Kiingereza (British) waliwashinda Wajerumani na kuyachukuwa mashamba yao nao wakajigawia na mengine kuwagawia Wagiriki ambao walikuwa ni washirika wao.

Tangu hapo wamasai walishindwa vita na vita vikuu vya wamasai viliishia hapo.

Wamasai walisukumwa kuelekea Longiido, Monduli na Mbuga ya Simanjiro. Waarusha walibaki maeneo jirani k**a Lengijave, Arusha chini , Nduruma na Olokii. Jina la jiji la Arusha lilitokana na Waarusha.

Huko Kenya Wao walianzisha harakati za kisheria, waliwapekeka wakoloni wa Kiingereza mahak**ani ili wapate haki ya Ardhi yao. Aliyeongoza hayo ni Mmasai mmoja wa Purko Kenya aitwae Murket Ole Nchoko. Kisa hiki cha Murket Ole Nchoko ndicho kitakuwa cha mwisho katika mfululizo huu.

Asanteni

VYANZO VYA HISTORIA HII

https://en.wikipedia.org/wiki/Arusha_people

Cool wallpaper  HD
05/04/2026

Cool wallpaper
HD

Naam tuanze na kumuelezea Baal, je baal ni Nani ?Baal (au Ba’l) ni jina lililoa aminiwa k**a mungu wa zamani wa Kikaanan...
05/04/2026

Naam tuanze na kumuelezea Baal, je baal ni Nani ?
Baal (au Ba’l) ni jina lililoa aminiwa k**a mungu wa zamani wa Kikaanan (Canaan) aliyekuwa akiabudiwa katika Mashariki ya Kati karne nyingi kabla ya Uislamu na Ukristo. Liliaminiwa k**a mungu wa radi, mvua, uzazi, na vita. Watu walimuomba mvua na mazao, na wakati mwingine walitoa sadaka ya watoto wao wa kwanza Kwa kuwachinja au kuwaua ili kumridhisha.

Katika Qur’an, Baal anatajwa moja kwa moja katika Surah As-Saffat (37:123-125):
Nabii Iliyas (Elijah) aliwakemea watu wake:
“Je, mnaita Baal na kuwaachia Muumba bora zaidi? Allah ndiye Muumba wenu na Muumba wa mababu zenu wa zamani.”

Hii inaonyesha kuwa Baal alikuwa “mungu wa uwongo” ambaye watu walimchagua badala ya Mwenyezi MUNGU. Katika Biblia (Agano la Kale), Baal pia anashambuliwa sana k**a sanamu ya kipagani na ibada iliyoharamishwa.

Katika fasihi ya demonolojia ya kizamani, hasa katika kitabu kinachojulikana k**a The Lesser Key of Solomon (Sefer HaRazim au Lemegeton), Baal (au Bael) ni mmoja wa watawala wakuu wa ulimwengu wa giza. Anachukuliwa kuwa “Mfalme wa Pepo” na anatawala kikosi cha pepo 66. Ana sifa ya kutoa hekima ya kina, maarifa ya siri, na uwezo wa kudhibiti akili na matendo ya binadamu.

Na je Iblis (Lucifer) ni Nani ?
Iblis Kwa Imani ya kiislam ni Shetani.

Qur’an 7:11-18, 15:28-44, 38:71-85) inasimulia kuwa:
Allah aliumba Adam kutoka udongo na kuwaamuru malaika wote (na Iblis alikuwa miongoni mwao, baadhi ya wanachuoni wanasema alikuwa jini mwenye nguvu na mchamungu sana) hivyo Mwenyezi MUNGU aliamrisha wamsujudie Adam kwa heshima.
Iblis alikataa na kisema: “Mimi ni bora kuliko yeye; uliniumba mimi kwa moto na yeye kwa udongo.”
Allah alimlaani na kumfukuza. Iblis akaomba ruhusa hadi Siku ya Hukumu ili awajaribu binadamu. Allah alimpa ruhusa, lakini akaonya kuwa hataweza kuwalazimisha wale wenye imani.

Lucifer ni jina la Kiingereza kutoka Biblia (Isaya 14:12) “nyota ya asubuhi” au “mbeba nuru” lililotumika kuelezea malaika aliyeanguka kwa kiburi Lakini bado inatafsirika kuwa ndiye huyo huyo ibilis.

Kazi yake: Anawashawishi binadamu kupitia waswasa (mawazo mabaya moyoni), tamaa, hofu, na udanganyifu. Hana nguvu ya kuwalazimisha watu kwasababu binadamu wana uhuru wa kuchagua. Qur’an inasema Iblis na wafuasi wake walio asi wanaweza tu kuwapotosha wale wanaomfuata kwa hiari yao.

Na je, Masih Dajjal (Al-Masih ad-Dajjal) ni Nani?
Huyu ni Messiah wa uwongo hutambulika pia k**a Antichrist. Anatajwa sana katika Hadith za Mtume Muhammad (s.a.w.) hasa katika Sahih Bukhari na Sahih Muslim si katika Qur’an moja kwa moja.

Sifa zake kuu kutoka kwenye Hadith inaelezwa:
Atatokea kabla ya Qiyama (Siku ya Hukumu) k**a fitna kubwa zaidi ambayo binadamu wamewahi kuona.
Atakuwa na jicho moja (kushoto) lililopofuka k**a zabibu iliyokauka, na maandishi KAFIR (kafiri) yaliyoandikwa kwenye paji lake ambayo muumini ataona wazi, lakini kafiri hataona.

Atadai kuwa yeye ni Mungu au Messiah.
Atafanya miujiza ya udanganyifu: kuleta mvua, kufufua wafu, kutoa chakula na mali nyingi, hata kufanya mlima wa dhahabu au moto kuonekana.
Atatawala sehemu kubwa ya dunia isipokuwa Makka na Madina. Wengi watamfuata, hasa Wayahudi wa wakati huo na wale wenye imani dhaifu.
Atakuwa na askari wakubwa na mfumo wa udhibiti. baadhi ya Hadith zinasema atakuwa na nguvu za kipekee.
Kisha nabii Isa (Yesu) atateremka kutoka mbinguni, atamfuata, na kumuua karibu na mji wa Lod (Palestina).

Mtume (s.a.w.) alisema: “Hakuna fitna kubwa kuliko Dajjal tangu Adamu aumbwe hadi Qiyama.” Na aliwafundisha masahaba kujikinga kwa kusoma Ayat al-Kursi, Surah Al-Kahf, na kuepuka maeneo yake.

swali la kujiuliza ni Je, Teknolojia Inahusiana Vipi na Dajjal?

Wanazuoni wengi wa kisasa k**a Dr. Yasir Qadhi, Omar Suleiman, na wengine katika mihadhara na maandishi)wanasema kwamba: teknolojia si Dajjal mwenyewe, bali inaweza kuwa zana au maandalizi ya udanganyifu wake.

Mfano:
Udanganyifu wa Kuona na Kusikia (Optical Illusions & Deepfakes):
Hadith inasema Dajjal atacheza na macho ya watu atafanya kile kinachoonekana kuwa kweli kiwe uwongo. Leo, AI deepfakes, virtual reality (VR), metaverse, na video zinazotengenezwa na AI zinaweza kufufua wafu kutoa sauti na picha za watu waliokufa, kutoa miujiza ya video, au hata kuunda ulimwengu wa uwongo unaoonekana halisi. Hii inafanana na miujiza ya Dajjal ambayo itapotosha watu wengi.

Udhibiti na Ufuatiliaji (Surveillance & Control): Teknolojia k**a AI surveillance, data tracking, social credit systems, na Neuralink (chip kwenye ubongo) inaweza kuwa zana ya kudhibiti mawazo na tabia za watu. Baadhi wanasema hii inaweza kutoa nguvu ya Dajjal ya kujua siri za watu au kuwashawishi kwa urahisi. Hadith inasema atakuwa na uwezo wa kufikia sehemu nyingi haraka k**a mawingu yanayopeperushwa na upepo, leo hii inaweza kufafanuliwa k**a internet na media ya kijamii inayotawala ulimwengu mzima.

Miujiza ya Teknolojia (False Miracles):
Kuleta mvua au kufanya jangwa kuwa na mazao: Hii inaweza kufanywa na teknolojia ya hali ya hewa (weather modification) au AI inayotabiri na kudhibiti mazao.
Kutoa mali nyingi: Digital currencies, crypto, au mifumo ya fedha inayodhibitiwa na AI inaweza kutoa ustawi wa uwongo.
Baadhi ya maandishi (k**a yale yanayojadili AI na Dajjal) wanasema Dajjal atahitaji Artificial Intelligence ili kufanya miujiza hii iweze kufanyika bila “miujiza halisi” ya kimuujiza AI itaweza kudhibiti mifumo mikubwa na kutoa udanganyifu wa kiwango cha kimataifa.

Jicho Moja na “One-Eyed” Symbolism:
Baadhi ya wazungumzaji wanaunganisha “jicho moja” na teknolojia ya skrini (screen) tunatazama ulimwengu kupitia skrini moja (simu, TV, kompyuta), na hii inatufanya tuone upande mmoja tu wa ukweli. Pia, “one-eye” symbolism inapatikana sana katika media na utamaduni wa kisasa, ambayo baadhi wanaiona k**a ishara ya maandalizi.

Maandalizi ya Sasa:
Teknolojia inaunda “utamaduni wa udanganyifu” (years of deception) kabla ya Dajjal kuja. Social media inapotosha maoni, AI inachanganya ukweli na uwongo, na watu wengi wanaamini kile kinachoonekana kwenye skrini. Hii inawafanya watu wawe na imani dhaifu, ambayo itawafanya wawe rahisi kumfuata Dajjal.

Lakini baadhi ya Wanazuoni wanasema Dajjal ni mtu halisi atakayejitokeza wakati wa fitna kubwa, si AI au teknolojia yenyewe. Teknolojia ni zana tu k**a silaha au magari ambayo inaweza kutumiwa na Iblis na wafuasi wake. Mtume (saw) alitabiri fitna hii ili tuwe tayari, si ili tuogope au kuacha kutumia teknolojia vizuri au kufaidika na tecnolojia.

Naam Kwa ufupi tumefaidika jambo la msingi
Nifollow Maher Bey k**a bado hujanifollow.

🤝 Follow me 26life Africa
✍️26life Africa

DO NOT CELEBRATE THE PAGAN DARK RITUAL EASTER!!The Almighty hates these pagan rituals and commanded that we do not parti...
02/04/2026

DO NOT CELEBRATE THE PAGAN DARK RITUAL EASTER!!

The Almighty hates these pagan rituals and commanded that we do not participate in these traditions of man.

DID YOU KNOW? Thousands of years ago, as sun worship (Baal worship) increased, so did the worship of his wife, the "Queen of Heaven", Easter. ISHTAR a Pagan Babylonian deity representing fertility and sexuality. Fertility goddess.

We are told through Babylonian legend that every year on "Easter Sunday" at sunrise, the priests of Easter would impregnate young virgins on the altar of Baal (Satan).

Then, the next year, they would take the now three month old babies and sacrifice them on the altar on Easter Sunday at the sunrise service.

They would then take the eggs of Easter and dye the eggs in the blood of the sacrificed infants.

The facts are that virtually everything that is associated with Easter can be traced back to pagan ritualistic ceremonies that YAHuah hated!

How do you think the Almighty feels looking down from Heaven and seeing us celebrate a day with the name of a pagan goddess, passing out stuffed Easter bunnies to the children that are picking up dyed Easter eggs, eating Easter ham on Easter Sunday morning while we attend Easter sunrise services on the exact same day that all of the sun-worshippers did for thousands of years!?

The early Set-Apart kept believers kept Passover for almost hundred of years until Easter was formally adopted by the Roman's and introduced Christianity through Constantine. Passover was then outlawed by Constantine in 325 A.D.

Most men grow older…But they never actually become men.Age doesn’t make you a man.Responsibility does.Here are 10 identi...
30/03/2026

Most men grow older…
But they never actually become men.
Age doesn’t make you a man.
Responsibility does.
Here are 10 identity shifts that turn boys into real men.

1. From blaming → taking responsibility.
Boys blame the world.
Real men ask: “What can I do better?”

2. From chasing pleasure → building purpose.
Boys chase parties, distractions, and easy dopamine.
Real men chase mission, progress, and growth.

3. From talking big → executing daily.
Boys brag about plans.
Real men quietly work until results speak.

4. From avoiding pain → embracing it.
Boys run from discomfort.
Real men know pain builds strength.

5. From needing approval → setting standards.
Boys want everyone to like them.
Real men stand firm even when others disagree.

6. From wasting time → protecting it.
Boys scroll endlessly.
Real men treat time like their most valuable asset.

7. From weak habits → disciplined routines.
Late nights. Junk food. No structure.
Real men build daily routines that make them stronger.

8. From following the crowd → leading themselves.
Boys copy what everyone else does.
Real men create their own path.

9. From emotional reactions → emotional control.
Boys explode in anger or panic.
Real men stay calm when things get tough.

10. From dreaming → building.
Boys fantasize about success.
Real men build it step by step.

Final truth:
The world doesn’t need more grown boys.
It needs disciplined men with purpose.
So step up.
Take control.
And become the man you know you’re capable of becoming.

The first 30 minuites after you wake up program your brain for the entire day.73% of people Sabotage it without even rea...
30/03/2026

The first 30 minuites after you wake up program your brain for the entire day.

73% of people Sabotage it without even realising it.

Here are 7 morning routines neuroscience says work:

1. DON'T TOUCH YOUR PHONE
Your brain wakes up in theta and alpha brainwave states.

This is when it is most programmable. Scrolling instantly floods your brain with dopamine spikes and stress signals.

You start the day reactive instead of intentional.

2. GET SUNLIGHT IN YOUR EYES Within 10 minutes of waking, expose your eyes to natural sunlight.

This triggers your circadian clock, boosts serotonin, and helps regulate cortisol.

Result: better mood, focus and sleep later that night.

3. DRINK WATER FIRST
You wake up mildly dehydrated after 6 to 8 hours of sleep.

Even 1 to 2 percent dehydration can reduce focus and energy.

Hydration signals your brain that the body is ready to start the dav.

4. MOVE YOUR BODY FOR 2-5 MINUTES
Simple movement activates the reticular activating system in your brain.

This increases alertness and blood flow.

You do not need a full workout.

Just wake your nervous system up.

5. SET ONE CLEAR INTENTION
Your brain filters reality based on what it believes is important.

When you choose one clear intention, your brain starts looking for opportunities that match it.

6. AVOID NEGATIVE INPUT
Your brain has a negativity bias in the morning.

News, arguments, or stressful content can shape your emotional state for hours.

Protect the first information your brain consumes.

7. DO ONE SMALL WIN
Make your bed.

Write one line in a journal.

Complete one tiny task.

Small wins release dopamine and build momentum.

Momentum is what turns good mornings into productive days.

Address

Arusha

Telephone

+255787513403

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 26life Africa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to 26life Africa:

Shortcuts

Share