VD Media Maratown

VD Media Maratown Música e entretenimento
(1)

23/04/2026

Unaambiwa bora kinga kuliko tiba.

Ni mda wakujilinda, hata k**a huna imani na taarifa za kuchukuliana mazaga. We hakikisha unajilinda.

Lisemwalo lipo, na k**a halipo, basi linakuja.

Msanii Nyago man Gm anatarajia kuachia ngoma mpya, na kwa siku za nyuma aliwaomba wasanii wengine msilaumu akiachia ngom...
23/04/2026

Msanii Nyago man Gm anatarajia kuachia ngoma mpya, na kwa siku za nyuma aliwaomba wasanii wengine msilaumu akiachia ngoma.

Ila anaomba msnii umoja wa kibembe atakaye weza kua kwenye iyo project mpya ambayo soon ataiachia.

Kwako wewe, ni msanii gani wa kibembe unaye mfahamu, ambaye anaweza akawa kwenye ngoma iyo?

22/04/2026

Hii couple jamani 🥰🥳🤩

22/04/2026

Kionjo cha wimbo wa Decky Real pamoja na 𝙅𝘼𝙔 𝘿𝙊𝙇𝙇𝘼𝙍 𝙊𝙂 - NIMEKUMISS.

Kionjo tu, umeishakua hit 🔥🔥

Msanii Decky Real ametangaza ujio wa collabo yake na 𝙅𝘼𝙔 𝘿𝙊𝙇𝙇𝘼𝙍 𝙊𝙂 kitambo sana, yaani kipindi Jay Dollar bado yupo kamb...
22/04/2026

Msanii Decky Real ametangaza ujio wa collabo yake na 𝙅𝘼𝙔 𝘿𝙊𝙇𝙇𝘼𝙍 𝙊𝙂 kitambo sana, yaani kipindi Jay Dollar bado yupo kambini Nyarugusu.

Ila sasa mda umekaribia, na kionjo cha ngoma iyo, ipo tayari Tik Tok kwa ajili ya challenges.

Unaisubiri ukiwa wapi?

21/04/2026

Malu Simba akiwa location.
Maandalizi ya video ya BIJA, kwa sasa video iyo hipo hewani YouTube.

GoldenVoko 🔥😎
21/04/2026

GoldenVoko 🔥😎

21/04/2026

UTILIDADE PÚBLICA!

21/04/2026

Wa ngapi wame m'miss Wa Kizazi Kipya ??? 🥲

Endereço

Avenida Coronel Sebastião Mabote
Maputo

Notificações

Seja o primeiro a receber as novidades e deixe-nos enviar-lhe um email quando VD Media Maratown publica notícias e promoções. O seu endereço de email não será utilizado para qualquer outro propósito, e pode cancelar a subscrição a qualquer momento.

Entre Em Contato Com O Negócio

Envie uma mensagem para VD Media Maratown:

Compartilhar