17/04/2026
Mapema ndio best❤️❤️❤️,Nimeenda Kwa jirani akaificha chapati 😂😂😂 NAMI pia nikaipea a good example ya mama mwingine aliyewahi Fanya hivo 😂😂😂 na paka akaichukua chapati zote 😂😂sahii nimepewa Chapo na jirani namaliza naenda zangu😂😂, don't forget to follow Queen puriDarleen,❤️❤️