Odhiambo Gideon#og

Odhiambo Gideon#og Presenter

Saa moja kabla ya kifo, wakati huo ndipo akili yako inaanza kuona ukweli.”Mioyo ilikuwa ikipiga kwa kasi, vichwa vikiwa ...
08/05/2025

Saa moja kabla ya kifo, wakati huo ndipo akili yako inaanza kuona ukweli.”

Mioyo ilikuwa ikipiga kwa kasi, vichwa vikiwa na mawazo ya machafuko, huku giza likikalia mtaa wa kale wa kijiji cha Makonde. Usiku ulikuwa umejaa baridi ya kutisha, lakini kile kilichokuwa kinatokea kilikuwa cha kutisha zaidi.

Mlango wa nyumba ya zamani ulijifunga kwa nguvu, ukitoa mlio wa kivumbi kilichosikika mbali sana. Saute za risasi zilimfuata mtu mmoja akitoka kwenye kivuli cha miti mikubwa ya mwembe. Macho yake yalikuwa meusi, yakikosa huruma—alikuwa akitoroka. Lakini alijua kuwa hakuna sehemu salama; dunia ilikuwa imejaa mtego wa mauaji na vita vya kimataifa.

Kwenye kivuli cha nyumba ya kisasa, mwili wa askari alionekana, umekufa kwa maumivu ya muda mrefu. Alikuwa amejaa michubuko ya kikatili, akionyesha dalili za kuishi ndani ya kambi ya kijasusi. Alikuwa ni mmoja wa wahanga wa mfululizo wa mauaji ambayo yalikuwa yakifanywa na kundi lisilo na huruma.

Mwenye akili nyingi, maarufu kwa jina la The Black Hand, alikuwa mtumishi wa mwisho aliyeachwa nyuma na shambulio la siri lililotokea. Alikuwa mmoja wa wale waliokuwa wakifuatiliwa kwa makini na mashine za kijasusi. Lakini leo, alijua kuwa alikuwa amekosea kutegemea mashine na akili za kijeshi. Aliweza kuona kwa mbali, macho yake yakikubali tu ukweli mmoja: Hakuna anayeweza kukimbia kutoka kwa mauaji haya.

“Hii ni vita ya akili, siyo silaha za kawaida. Wote tunapigana na mawazo,” alifikiria, huku akijua kuwa machafuko yaliyokuwa yakienea duniani yalikuwa yamesababisha vita vya kipekee.

Alijua kuwa nyuma ya kila mzunguko wa mauaji, alikuwapo mtandao mkubwa wa majasusi na mashine za intelijensia. Hali ya umoja ilikuwa imeanza kutikisika, lakini kiwango cha ujasusi wa kimataifa kilikuwa kikiongezeka, na wakati wowote, The Black Hand angeweza kutimiza malipo yake ya mwisho.

14/06/2024

Lita  moja ya maziwa ya panya huuzwa kwa kiasi cha pesa dollar 22,000 sawa na milioni 2.86 fedha za Kenya.Itakupasa kuka...
12/04/2024

Lita moja ya maziwa ya panya huuzwa kwa kiasi cha pesa dollar 22,000 sawa na milioni 2.86 fedha za Kenya.Itakupasa kukamua zaidi ya panya 4000 ili kupata kiasi hicho cha maziwa .Maziwa ya panya yanavirutubisho mara 4 ya maziwa ya ngombe na hutumika kwa kutengeneza dawa mbali mbali za binadamu.

06/03/2024

Its a beautiful day...

Nilidanganyana ati kwa CV ati mimi ni Mechanic niko na experience ya Miaka tatu kutengeneza trucks wueeh nikapata kazii ...
30/01/2024

Nilidanganyana ati kwa CV ati mimi ni Mechanic niko na experience ya Miaka tatu kutengeneza trucks wueeh nikapata kazii harakaa

Nikapewa Mp4 🤣🤣niendeshangee Kumbe imesetiwa Haina Oil sasa nikiwa kwa Yard ikaanza kutoa ile alarm ya oil ikazimaa

Mimi na ujuaji Yangu nikaulizwa ni nini shida nikasema ati ni overheating hivyo ndivyo nililimwo na mdosi nikaitiwa cruzaa kibarua kilikunywa majii🤣🤣

Please never cheat on your CV itakuramba

PICTURE FOR ATTENTION ONLY

💔Polisi nchini Uganda wanamshikilia mzee wa miaka 110 kwa tuhuma za kumdunga kisu mkewe mwenye umri wa miaka 109 hadi ku...
18/12/2023

💔
Polisi nchini Uganda wanamshikilia mzee wa miaka 110 kwa tuhuma za kumdunga kisu mkewe mwenye umri wa miaka 109 hadi kufa kwa kumnyima unyumba.


Gazeti la Daily Monitor linaripoti kuwa Dominic Babiiha anadaiwa kumuua Costansio Bakasisa kwa kisu siku ya Jumamosi nyumbani kwao Kahunga, wilaya ya magharibi ya Ntungamo Uganda.


Msemaji wa jeshi la polisi mkoani hapa, Samson Kasasira alinukuliwa akisema kuwa usiku wa kuamkia leo majira ya saa nane , inasemekana marehemu alikataa ombi la mume wake la kutaka kuambatana naye kitandani kwa sababu alikuwa anaishiwa nguvu na alikuwa na kikohozi.


“Wawili hao walienda kulala katika vyumba tofauti na marehemu akihamia chumba cha wajukuu zake wawili,” msemaji wa polisi alisema.


Siku iliyofuatia wajukuu walisikia vurugu na walipokwenda kupeleleza babu aliwafukuza na
“Ndipo mshukiwa alianza mara moja kumchoma kisu marehemu mara kadhaa, na kumlazimu mjukuu mwingine kukimbia na kutafuta msaada kwa majirani.”


Majirani walipofika walimkuta bi Bakasisa akiwa amefariki , huku Babiiha akiwa amejifungia chumbani ambapo alikutwa amepoteza fahamu huku pembeni yake akiwa na chupa ya kemikali ya kilimo.


Polisi walisema kwamba vurugu zilizosababisha kifo cha bibi huyo zilichochewa na “kumnyima mumewe haki yake ya ndoa,” na kwamba uchunguzi kuhusu suala hilo unaendelea.




Harambee Starlets Fall As Tanzania, Uganda And Namibia Rise In Latest FIFA RankingsThe Kenya women’s National team has b...
15/12/2023

Harambee Starlets Fall As Tanzania, Uganda And Namibia Rise In Latest FIFA Rankings
The Kenya women’s National team has been active recently having played four WAFCON qualifiers, edging Cameroon on aggregate win in the first round of the qualifiers before going down to Botswana

20/11/2023

Hawa tunauwaaaa🥳🥳🥳

HT

SEYCHELLES 0:3 KENYA

WeeweeH!Ebu see what my buddy Elly has done!ICT CS Eliud Owalo; a huge Gor supporter; through his Eliud Owalo Foundation...
07/11/2023

WeeweeH!

Ebu see what my buddy Elly has done!

ICT CS Eliud Owalo; a huge Gor supporter; through his Eliud Owalo Foundation; has bought this Bus for Gor Mahia from General Motors at a cost of KES 23 M!

My fellow K'Ogalo supporters. Come witness the handover at Kasarani this Saturday at 8am at the VIP Parking area!

🙌🏽

Even non K'Ogalo-arians are welcome!




-

03/11/2023

⭐⭐The beautiful devotion of the three Hail Marys⭐⭐

💥The custom started in Germany in the 13th century, and it was beloved by many saints, including St. John Bosco.
Among the devotions to Our Lady, there is one that is very special: that of praying three Hail Marys every day. But, where did this devotion come from?
Its origin dates back to the 13th century, and is connected to St. Mechtilde of Hackeborn, a German Benedictine nun, to whom Our Lady revealed a way of lifting up a prayer of thanksgiving to the Holy Trinity for the privileges granted to the Virgin Mary.

St. Mechtilde was born in 1241 into a noble family. One day, while thinking about her own death, she fervently begged the Mother of God to help her during the last moments of her life.

💥She heard Our Lady say to her:

🌷“Yes, I will; but I want you, on your part, to pray three Hail Marys to me each day. With the first, you will ask that, just as God the Father raised me up to a throne of glory without equal, making me the most powerful creature in heaven and on earth, so too I may assist you on earth to strengthen you and drive away from you every power of the enemy. With the second Hail Mary, you will ask that, just as the Son of God filled me with wisdom to such an extent that I have more knowledge of the Holy Trinity than all the Saints, so too may I help you during the last moments of your life, filling your soul with the light of faith and of true wisdom, so that the shadows of error and ignorance may not darken it. With the third, you will ask that, just as the Holy Spirit filled me with the sweetness of His love, and has made me so loving that, after God, I am the sweetest and most merciful, so also may I help you at the hour of your death, filling your soul with such gentleness of divine love that all the sorrow and bitterness of your death may be changed for you into delight.”

This was not the only revelation to a saint regarding the devotion of the three Hail Marys.

03/11/2023

CATHOLICISM AS VIEWED BY A PENTECOSTAL PREACHER

"I admire Catholics level of unbotheredness. You can criticize their church, their leaders or their faith, they will listen to you until you finish, then they will go to church the next Sunday, eat the Sacrament and go home.

They do believe in miracles but they don’t chase miracle from church to church. Mass is only 1or 2 hrs, no time for gossip, you don’t have to over dress to impress anyone.

They don't even have loud speakers in their churches to disturb villagers, they don't hold crusades or go evangelising. If you want to join them, you have to go look for the church yourself, they have no time convincing you to join them. Nor do they have time to preach against other denominations. They don't even have time to recognize visitors for unnecessary greetings.

Minding their business is a full time job.
No time to organize false marriages, no hypocrisy. No need for the priest approval to know you are doing right, personal relationship with God, a relationship that is between you and your Creator and Jesus in your heart, not shouting to prove anything. Quietness no fake falling under anointing or pretending to hear from God and doing the opposite.

They practice daily repentance, prayer, devotion, meditation, humility, charity and sacrifice. Very disciplined denomination".

Address

Nyahururu Falls

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Odhiambo Gideon#og posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category