07/04/2026
🚗⛽ HALI YA MAFUTA NAIVASHA
Kumekuwa na uhaba wa mafuta maeneo kadhaa hapa Naivasha na foleni ni ndefu sana. 😓
Tafadhali tusaidiane taarifa:
👉 Ni wapi kuna mafuta kwa sasa hapa Naivasha?
👉 Ni station gani bado iko na petrol/diesel bila msongamano mkubwa?
Tushirikiane ili kupunguza msongamano na kusaidiana kupata huduma haraka. 🙏