23/05/2026
Arif Wangu wa RadaOya mresh / Oya msee wangu wa nguvu,Tangu mtaa ikae kaa ngori, hadi pale mambo yanashika joto,Wewe ndio ule mshikaji ambae hajawai niangusha kwa hii barabara.Mbafu chweda, we ni yule wa ukweli hata k**a kumeumana.Kila time tukipiga picha au tukikaa tunachill pale mtaani,Hata kukiwa na msorry au msoto inatuma message,Najua niko na buda au mrembo wa maana sana.Tumesota pamoja, tukatoka chini, na tutaomoka pamoja.Wewe ni nare inayowaka kwa giza,Kama jaba inashikilia akili, wewe unanipa nguvu ya kusonga.Mungu azidi kutubariki na hii bond yetu,Ju unajua all my secrets, na bado unanishikilia tu.
Kolando Storyteller Poetically-speaks