1009 Music

1009 Music We aspire to provide the right productions to the world - telling our African stories through art. We are an entertainment company that manages artistes.

We produce good music, shoot videos and also do gigs

Mcheshi anayejaribu kuwa k**a Ishowspeed, Vindee, jana amepigwa akiwa kwa upeperushaji huko Klabu Area, UON. I ni baada ...
26/02/2026

Mcheshi anayejaribu kuwa k**a Ishowspeed, Vindee, jana amepigwa akiwa kwa upeperushaji huko Klabu Area, UON. I ni baada ya kuanza kuongelesha wasichana waliokuwa kwenye njia na taa ya mwanga ya LED wanaoitumia kuwaangazia vijana wasiojulikana.
Baada ya purukushani ilionekana kumalizikia kwa mtu wake wa kamera kuumizwa Vindee alidai kuwa hawangeweza kumuibia simu kwa maana anawashinda na nguvu.
Je wewe waona ni haki kwa watu kuwasumbua wapepereshaji video ikiwa kamera zao zitawamulika wakiwa pahala pa umma

Rais wa Afrika Kusini ameikemea shambulizo na kuk**atwa kwa rais wa Venezuela Nicolas Maduro.Rais Ramaphosa amesema Rais...
06/01/2026

Rais wa Afrika Kusini ameikemea shambulizo na kuk**atwa kwa rais wa Venezuela Nicolas Maduro.

Rais Ramaphosa amesema Rais wa Muungano wa Amerika Donald Trump amekiuka kanuni za muungano wa Kimataifa.

Amesisitiza kuwa wizi wa rasilimali kupitia propaganda, na kuvunjwa kwa uhuru wa taifa la venezuela kunaacha mfano mbaya kwa mataifa mengine.

Address

Kahawa Wendani
Nairobi

Telephone

+254113012736

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 1009 Music posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to 1009 Music:

Share