Bahari Fm

Bahari Fm The coastal market woke up in September 2008, to a new station from Royal Media Services. Bahari FM’s tag line is Nuru ya Roho’
(3)

The word “Bahari” is the Kiswahili term for ocean, giving the station an immediate identity to the coastal people.

Wakaazi wa kijiji cha Mikinduni eneo la Majembeni katika kaunti ya Lamu wanalalamikia changamoto ya mimea yao kushambuli...
13/05/2026

Wakaazi wa kijiji cha Mikinduni eneo la Majembeni katika kaunti ya Lamu wanalalamikia changamoto ya mimea yao kushambuliwa na kuliwa na Ndovu walikithiri eneo hilo.

Wameeleza kwamba ni takriban muda wa mwaka mmoja sasa mahangaisho ya Ndovu yameendelea kushudiwa eneo hilo huku wakipoteza mavuno yao.

Polisi kutoka kituo cha polisi cha Mtwapa kaunti ya Kilifi wamewakamata washukiwa watatu wa ulanguzi wa dawa za kulevya ...
13/05/2026

Polisi kutoka kituo cha polisi cha Mtwapa kaunti ya Kilifi wamewakamata washukiwa watatu wa ulanguzi wa dawa za kulevya na kufanikiwa kupata bangi iliyokuwa imefungwa na kufichwa kwa ajili ya biashara.

Washukiwa hao ni Abdi Hadji Boru mwenye umri wa miaka 37, Ephantus Kamau maarufu Raila mwenye miaka 22 pamoja na David Juma Odhiambo mwenye miaka 29

Kijana mmoja mhudumu wa bodaboda amepoteza maisha papo hapo baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani eneo la Changam...
13/05/2026

Kijana mmoja mhudumu wa bodaboda amepoteza maisha papo hapo baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani eneo la Changamwe Roundabout mapema leo.

‎Kulingana na mashuhuda, kijana huyo alikuwa akitokea katikati mwa jiji la Mombasa ambapo aligongwa na lori na kufariki papo hapo

13/05/2026

Nyeti za wa chezaji ndani ya Kutubuti


Tuko Bomba ndo habari ya mjini ...mda wa kutetemesha anga kwa mirindimo ya kimwambao   tayari nipo  nyuma ya bomba ndio ...
13/05/2026

Tuko Bomba ndo habari ya mjini ...mda wa kutetemesha anga kwa mirindimo ya kimwambao tayari nipo nyuma ya bomba ndio maana tunasema Tuko Bomba niite Malkia Emma Marevu. Upo hapo ulipo?

13/05/2026
Man City leo wataamua tupee wale jamaa kombe ama waendelee kusubiri kiasi. Mida ni ya Kutubuti na Captain Lolo
13/05/2026

Man City leo wataamua tupee wale jamaa kombe ama waendelee kusubiri kiasi. Mida ni ya Kutubuti na Captain Lolo

13/05/2026

Tuache Mambo yakuoneana wivu


Imeibuka kuwa wanafunzi wa shule 12 za eneo la pwani walipanga kupitia Whatsapp group jinsi watachoma mabweni ya shule. ...
13/05/2026

Imeibuka kuwa wanafunzi wa shule 12 za eneo la pwani walipanga kupitia Whatsapp group jinsi watachoma mabweni ya shule. Wanafunzi 33 wameshtakiwa kotini, na wazazi watagharamikia hasara iliyotokana na moto katika shule hizo. Hawa Wanafunzi watarekebishwa vipi??

13/05/2026

Leo ndani ya Kunani tunazungumzia visa vya wanafunzi kuchoma mabweni shuleni hapa Pwani


Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bahari Fm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share