30/07/2023
methali ndio hii punda ikufe mzigo ifike ๐...kama huna pesa na hujai enda mjengo wacha tu mambo ya wanawake unaskia una Kula simiti Na jioni utakuliwa ๐ surly Mimi niliangalia tu hyo kitu hivi aaaah nikamwamibia aende apeleke shida. zake kwa pastor Ezekiel๐๐ญspendi ujinga Mimi ๐๐๐