28/09/2025
TURUDI KWA RELI
Tuzoeane juu tayari ushanitoa kwa maisha ya kejeli
Turudi kwa reli,
nikushow vile niliharibika nikinywa kegi
Si ushakam na najua umekam hutaniacha
Turudi kwa reli
juu pale nilifungua roho vile nakupenda
pale nilikuwa na hidden feelings,
Kukushika shika ilinifanye nitoe uoga Turudi kwa reli,
unishow vile hukupenda kutoka job mapema ukipitia gym kufanya mazoezi ya yoga
Turudi kwa reli,
Tuunde life yetu ndani ya meli
Turudi
Mimi na wewe,
kwa Reli
pale penye tukiwa wawili hatufikirii kurudi home haraka
Turudi kwa reli,
yenye inatupea morali kuwa someday tutatembea kule Ushelisheli
Si, ..si turudi kwa reli