Arrestg P2

Arrestg P2 This page is for , comedian, influencer, marketing, creative ideas and entertainmen.
(1)

05/05/2026

President William Ruto is in Tanzania for a special visit, where he's also expected to address the Tanzanian Parliament tomorrow on Tuesday.

Sasa hapo kwa addressing the Parliament sijui itakuwa speech ya Kiswahili ama English, acha tuone.!!! 🇹🇿 #

Rapa Khaligraph Jones kutoka Nchini kenya amewachana mashabiki wanaomuomba msaada mitandaoni, kwa mujibu wa Khaligraph a...
30/04/2026

Rapa Khaligraph Jones kutoka Nchini kenya amewachana mashabiki wanaomuomba msaada mitandaoni, kwa mujibu wa Khaligraph anasema kwamba yeye uwashangaa baadhi ya mashabiki wanaomuomba misaada huku profile zao zimejaa nyimbo za Diamond platnumz na Fally Ipupa.

"Mimi uwa nashangaa sana unakuta mtu unaniambia Khaligraph nisaidie mimi ni shabiki yako naku support Since Day 1, Lakini nikifungua Profile yako nakuta umejaza tena Picha za Diamond na Fally, Siwezi kukusaidia Budah" Amesema -Khaligraph Jones.

29/04/2026
Gerson Msigwa, Asema kuwa hajapata uthibitisho wowote wa Mtanzania aliyeshambuliwa nchini Afrika Kusini. Aidha, Ameeleza...
26/04/2026

Gerson Msigwa, Asema kuwa hajapata uthibitisho wowote wa Mtanzania aliyeshambuliwa nchini Afrika Kusini. Aidha, Ameeleza kuwa video zinazosambazwa mitandaoni ni za zamani Sio kweli.

Kauli hiyo inakuja kufuatia madai yanayosambaa yakidai kuwa wenyeji wa Afrika Kusini wanawashambulia wageni, wakiwemo Watanzania wanaoishi katika miji mbalimbali.

26/04/2026

Huyu mtanzania mwengine anapigwa huku anawauliza kwani nimefanya nini?kuna mtu nimemeona comment yake anasema sijui k**a MAMA wa tanzania anaona hii.alafu mimi nik**a naona mama akiongea atasema WATU WASIOKAA MANYUMBANI MWAO WAMEKOSA NINI KWENDA KWA NCHI ZA WATU WATAJUA WENYEWE..hawa watu wako na wivu na watu wako na bidii sana na ndio maana hata msanii akihit uko kwao wanamuua yani wivu hata wao kwa wao

26/04/2026

Yanayo endelea kule afrika kusini

26/04/2026

Yanayo endelea kule afrika kusini

26/04/2026

Ukweli usemwe jamani watanzania...yanayo endelea south afrika ni funzo kwa watanzania wote na wakenya.
🇹🇿

25/04/2026

It time watanzania waamke...umeona njinzi mtanzania anateswa south afrika kusini
🇹🇿

24/04/2026

Nothing like that that Elon sent ishowspeed to spy africa i disagree with you nigerian man.

Address

Dar Es Salaam
00100

Telephone

+254768027268

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Arrestg P2 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Arrestg P2:

Share