ArrestG MEDIA

Call Directions Contact the establishment

ArrestG MEDIA This page is for , comedian, influencer, marketing, creative ideas and entertainmen.

Binti wa Rais wa Kenya, William Samoei Ruto, Charlene Ruto, leo Agosti 8, 2026 amefanyiwa sherehe ya jadi siku ya leo in...
10/08/2026

Binti wa Rais wa Kenya, William Samoei Ruto, Charlene Ruto, leo Agosti 8, 2026 amefanyiwa sherehe ya jadi siku ya leo inayofahamika k**a “Koito ak Chaik”, ikiwa ni sehemu ya mila za jamii ya Kalenjin zinazofanyika kabla ya ndoa.

Sherehe hiyo huhusisha uchumba pamoja na kuagwa kwa binti kabla ya kuanza maisha ya ndoa, na ni sehemu muhimu ya utamaduni wa jamii ya Kalenjin nchini Kenya.

Kwa mujibu wa taarifa zinazoripotiwa na vyanzo mbalimbali nchini Kenya, Charlene Ruto anadaiwa kuchumbiwa na kijana Mtanzania na mfanyabiashara, Isaiah Yunge.

Isaiah Yunge amewahi kutambuliwa kwa mchango wake katika kutumia teknolojia kuleta mabadiliko ya kijamii. Mwaka 2018, alitunukiwa Queens Young Leaders Award na Malkia Elizabeth II.

Aidha, Yunge amewahi kutajwa na jarida la Forbes miongoni mwa vijana wenye umri chini ya miaka 30 waliotajwa kwa mchango, ubunifu na athari zao barani Afrika.

Sherehe hii imeendelea kuvuta hisia kutokana na kuhusisha familia ya Rais wa Kenya na kijana kutoka Tanzania watu mbalimbali mashuhuri wamehudhuria sherehe hiyo, hatua inayotajwa na wengi kuwa ni ishara nyingine ya kuimarisha udugu na mahusiano kati ya Tanzania na Kenya. 🇹🇿🤝🇰🇪

Mungu akaibariki safari yao ya ndoa, na azidi kuimarisha udugu wa Tanzania na Kenya.

Hi! sasa kufuru😀😀😀
08/08/2026

Hi! sasa kufuru😀😀😀

Mtasubiri sana 😁
02/08/2026

Mtasubiri sana 😁

Nashindwa kuwaelewa🤣   arrestgp2
30/07/2026

Nashindwa kuwaelewa🤣 arrestgp2

28/07/2026

Kwa nini watu wamepunguza kufanya ngono? Wataalam waelezea

28/07/2026

SIKU UKIPOTEZA MAISHA NANI ATATOA PASSWORD KWENYE SIMU YAKO?

28/07/2026

Tanzania vs kenya

26/07/2026

Shakira Wafula ゚viralシ foryo

trending story ya mwanamke kutoka kenya baada ya kufungiwa nyumba kwa kudaiwa kodi aliamua kupita na nyuma..
25/07/2026

trending story ya mwanamke kutoka kenya baada ya kufungiwa nyumba kwa kudaiwa kodi aliamua kupita na nyuma..

Address

Dar Es Salaam
00100

Telephone

+254768027268

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ArrestG MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to ArrestG MEDIA:

Shortcuts

Share